Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Cavan ndiye aliye mpaka ronaldo na sio ronaldo alimnyang'anya cavan! Nenda kwenye insta ya man united utaona post cavan aliyo andika kama ishara ya kumpa ronaldo namba 7 yake.
watakosa hela y kumlipa
Duuh miaka takriban kumi !!??Alisepa manure 2009 kwenda Madrid piga hesabu mwenyewe
Ronaldo ni noma kaisaidia timu yake ya Taifa kwa kufunga magoli 2 dakika za mwisho kwenye mashindano ya kufuzu kombe la Dunia na kukaa kileleni tena ugenini, hongera Sana.Jezi namba 7 pale katika viunga vya Old Traford Manchester United huwa inajulikana ni ya nani π Ronaldo na tayari kachukua namba yake huenda Cavan akavaa jezi namba 21 ambayo anaitumia timu taifa na kwenye vilabu vingine alivyochezea.
Mwanzo jezi namba 21 pale Man United alikuwa akiitumia Daniel James ambaye kwa sasa ameondoka na kujiunga na Leeds United.
Baada ya Cristiano Ronaldo kupewa jezi namba 7 katika klabu ya Manchester United ambayo alikuwa anaivaa Cavan sasa Cavani amechukua namba 21 aliyokuwa anaivaa Damiel James ambaye ameuzwa Leeds United.
Humo ndani atakuwa anacheza peke yake? Ni kama kule Juventus star yuko peke yake wengine ni vilaza vilazaKwanini asiende tim ambayo haijawahi chukua uefa akaisaidie?π€£
Ukweli mtupuAmeshindwa nini kumwachia cavani iyo 7,, for me cavan ni bora kuliko ronaldo kwa sasa, sema jina linampaisha.
Humo ndani atakuwa anacheza peke yake? Ni kama kule Juventus star yuko peke yake wengine ni vilaza vilaza
Kwanini mkuu?
statistics zinasemaje kuhusu cr7 na cavani?Ameshindwa nini kumwachia cavani iyo 7,, for me cavan ni bora kuliko ronaldo kwa sasa, sema jina linampaisha.
πππ manureAlisepa manure 2009 kwenda Madrid piga hesabu mwenyewe