Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Messi ni gharama ndo mana yeye katulia Barca na kila kitu anakipataa paleNje ya Barca sio lazima iwe club nyingine, kuna timu ya Taifa, unawalinganishaje Messi wa Barca na Messi wa Argentina??wana makali sawa kwa maoni yako?
Hapo ni jumla ya magoli na mechi walizocheza toka 2009-2018,unamkubali nani hapo?View attachment 1235664
Kiwango chake duni alipokuwa mdogo ndio kilifanya asianze kucheza timu kubwa,nashangaa unavyosema kuwa kama angeweza kuanza kucheza timu kubwa-this is an illogical argumentHEBU TUANGALIE REKODI ZA MESSI JA RONALDO TOKA MWAKA 2009- 2018.
HAPO NDIPO UTAJUA KAMA RONALDO ANGEANZA KUCHEZA LA LIGA TOKA MUDA KWA TIMU YA KARIBA YA BARCELONA AU REAL MADRID,ANGEKUA NA MAGOLI MENGI MNOO
HIZO MECHI WANAANZIA KUHESABU TOKA ENZI ZA SPORTING SP, WAKATI HUKU MESSI ANACHEZA TIMU BORA ZAIDI YA BARCELONA YENYE,RONALDINHO,ETOO,DECO,XAVI,INIESTA,NA PUYOL.
TUACHE UJINGA RONALDO ANGEFANYA MAKUBWA ZAIDI YA MESSI,KAMA ANGEKUWA YEYE PALE BARCELONA.View attachment 1235649