Ronaldo atua rasmi Al Nassr

Ronaldo atua rasmi Al Nassr

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo amesaini mkataba mpya na klabu ya Al Nassr ya nchini Saudi Arabia.

Mkataba huo utamfanya kuwa mchezaji anyelipa zaidi na atasalia klabuni hapo hadi 2025.

Ronaldo mwenye umri wa Miaka 37 amekabidhiwa jezi namba 7.Al Nassr ni mabingwa mara tisa wa ligi ya Saudi Arabia.

instagram_1672435618037.jpg
 
Pesa pesa pesa iheshimiwe, alisema kwake ushindani na kupenda kucheza soka la kiushindani ni muhimu kuliko hizo pesa za waarabu kumbe alishasinya makaratasi kitambo.

Pesa za muhimu waungwana, nilitaka nishangae unaachaje mpunga wote ule na kwa umri huo, hongera kwake kafanya maamuzi sahihi.
 
Daah. Kwisha habar yake....sasa iv tutamlinganisha na Zimbwe Jr
 
Back
Top Bottom