anavuna hela za mwisho mwisho .. akitoka huko atenda Raja CasablancaMshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo amesaini mkataba mpya na klabu ya Al nassr ya nchini Saudi Arabia.
Mkataba huo utamfanya kuwa mchezaji anyelipa zaidi na atasalia klabuni hapo hadi 2025.
RAJA CASABLANCA ya MOROKO au kuna nyingine?anavuna hela za mwisho mwisho .. akitoka huko atenda Raja Casablanca
Huku ataenda kupanga kikosi kabisa anachotaka yeye
Ya Naijeria mkuu wanapiga soka la kitabuniRAJA CASABLANCA ya MOROKO au kuna nyingine?