Ronaldo atupwa nje kwenye kikosi cha FIFA, anacheza ligi dhaifu duniani

Ronaldo anacheza ligi dhaifu ila Messi anacheza ligi ya ovyo dhaidi Dunia France leauge one
 
As long as huyo ndo highest paid player globally sidhani kama kuna umuhimu wa hizo tuzo kwake kwa sasa. Kasha wekwa mara kibao tu.
Hii ndio pointi,pamoja na chuki zote na changamoto alizopitia lakini ameshinda na anapiga hela.Yeye ni mfano wa kuigwa kwa wapambanaji.Watu wengi duniani wana chuki binafsi na ronaldo vikiwemo vyama vya soka,taasisi,makocha,mashabiki na wachezaji pia.Wanaona husda hata kumzungumzia kwa mema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…