United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Ronaldo anacheza ligi dhaifu ila Messi anacheza ligi ya ovyo dhaidi Dunia France leauge one
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokupangwa Christian Ronaldo kwenye kikosi bora cha FIFA ipo wazi kwenda kucheza ligi dhaifu sana.
Haiwezekani mchezaji bora awe kwenye timu za kiarabu hakuna soka uarabuni bado sana
USSR
Ronaldo anacheza ligi dhaifu ila Messi anacheza ligi ya ovyo dhaidi Dunia France leauge one
Hii ndio pointi,pamoja na chuki zote na changamoto alizopitia lakini ameshinda na anapiga hela.Yeye ni mfano wa kuigwa kwa wapambanaji.Watu wengi duniani wana chuki binafsi na ronaldo vikiwemo vyama vya soka,taasisi,makocha,mashabiki na wachezaji pia.Wanaona husda hata kumzungumzia kwa memaAs long as huyo ndo highest paid player globally sidhani kama kuna umuhimu wa hizo tuzo kwake kwa sasa. Kasha wekwa mara kibao tu.