Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,642
Messi amecheza misimu 13 kama mchezaji wa kulipwa, wakati CR7 amecheza misimu 15 kama mchezaji wa kulipwa!Ivi messi na cr7 nani yuko ligi kuu mda mrefu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messi amecheza misimu 13 kama mchezaji wa kulipwa, wakati CR7 amecheza misimu 15 kama mchezaji wa kulipwa!Ivi messi na cr7 nani yuko ligi kuu mda mrefu??
Kwani na messi na Ronaldo aliyekaa mda mrefu ligi ya hispania ni nani?Messi ndiye aluyeshikilia record yakufunga magoli mengi Laliga aliivunja mwaka juzi mwezi wa december aliyekua ameweka record ni Telmo Zara tangu mwaka 1959
Wewe unayejua recodi za hao wawili mbona upo kimya? kuna ujinga na upumbavu... mimi hao machalii ni wadogo kwangu kiumri so nimewasikia historia zao zote vizuri na wanayoyafanya nayaona kiuwazi so huwezi nikatalia ati sijui historia zao... so nakuita u mjinga sababu umeonesha ujinga wako kwangu na halina ubishi.Huna lolote unalolijua kuhusu rekodi za hawa watu wawili. Punguza mahaba ya kijinga!
Hivi mchezaji bota wa Dunia mara 5 na mchezaji bora mara 4 nani anapaswa atoe machozi?
Ufupi wa Messi unaingiaje kwenye rekodi zao? Yeye ndiye aliyejiumba? Wewe hapo una nini cha maana ktk maumbile yako mpaka umkosoe mwenzio?
Kama unaujua mchezo wa Soka kamwe huwezi kuwachukia wachezaji hawa.
Ficha ujinga wako!
Cristiano Ronaldo has scored 46 headed goals in La Liga, more than any other current player in the competition (Aduriz, 45). Anvil.
Mjanja nani? Mkwepa kodi au anayeliwa?Record ya kukwepa kodi je?? Ivi jamaa alifungwa kweli?
Lazima atakuwa Messi sababu kuna nyakati nyingi Ronaldo huwa anakuwa ameenda MoroccoIvi messi na cr7 nani yuko ligi kuu mda mrefu??