Ronaldo aweka record Nyingine Magoli ya Vichwa..Messi alia

Messi ndiye aluyeshikilia record yakufunga magoli mengi Laliga aliivunja mwaka juzi mwezi wa december aliyekua ameweka record ni Telmo Zara tangu mwaka 1959
Kwani na messi na Ronaldo aliyekaa mda mrefu ligi ya hispania ni nani?
 
Wewe unayejua recodi za hao wawili mbona upo kimya? kuna ujinga na upumbavu... mimi hao machalii ni wadogo kwangu kiumri so nimewasikia historia zao zote vizuri na wanayoyafanya nayaona kiuwazi so huwezi nikatalia ati sijui historia zao... so nakuita u mjinga sababu umeonesha ujinga wako kwangu na halina ubishi.

Sina mahaba kwa kuandika Ronaldo aweka rekodi nyingine mpya kama ni mahaba hata vyombo vya soccer visingeandika na pia tambua mimi nimecopy na kuwawekea news wana JF wadau wa Soccer kama hupendi soccer huna haja ya kuquote kitu kwenye thread hii maana kama umekereka bora ujifungia ndani na mkeo mtizamane...

Ufupi wa Messi unaelezewa na kila mtaalam wa Soccer... Hata Peter Clouch huzungumziwa kuwa ni Mrefu hiyo sio criticism ficha upumbavu wako. ni sawa na kusema Maradona anatumia guu la Mavi hiyo ni sifa na sio dhihaka bwege we...Ungekuwa unaelewa mambo ya Soccer huwezi kasilika kinachoandikwa au kuzungumziwa raha ya Soccer hunogeswa na Maneno pia hata mchezaji akifunga goli la offside liakubaliwa tu hata kama yeye mwenyewe akilili matokeo hayabadilishiki.... so Messi ni mfupi na halina ubishi haijalishi ndio kaumbwa hivyo au kivingine la muhimu anafurahia Maisha yake.

Sichukii mchezaji bali kama kunatatizo fulani anafanya kwenye soccer inaruhusiwa kukasilika au kuchukia ila soccer no game tu maana Suarez alichukiwa na Africa ila mie sijawahi mchukia na hajawahi chezea timu nayoipenda lakini tambua kamfunika sana Messi Pale Barca.
 
Hapo kwenye goli kila dakika ya mchezo ,ni yeye na Zlatan ibrahimovic ndio wanashikilia hiyo rekodi.
 
Inafurahisha pale wabongo wanapotaka kuwafanya Messi na C7 kama Diamondo na Ali Kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…