Mshambuliaji bora wa mda wote nnae mjua mimiMshambuliaji mashuhuri duniani Ronaldo de Lima amebatizwa katika Kanisa la Sao Jose do Jardim Europa Parish huko Sao Paulo.
Ronaldo de Lima ame post picha kwenye Instagram page yake na kusema "Imani ya Kikristo imekuwa msingi muhimu wa maisha yangu toka utoto ingawa nilikuwa sijabatizwa. Kwa sakramenti hii najisikia kuzaliwa upya kama mtoto wa Mungu kwa namna mpya, kihisia na kwa undani kabisa."
Hongera kwake kuamua kujikabidhi kwa Kristo.
View attachment 2749085
Yule aliyesilimu baada ya kuhamia timu za uarabuni ni yupiAlikuwa dini gani awali?
Kubatizwa ni kuoga?Hapo habatizwi bali anaoshwa kichwa!
Unaelewa maana ya kubatizwa?(BAPTISM?)Kubatizwa ni kuoga?
Usijali...huo ni mwili tuu...na mwili hauna manufaa yoyote mbinguni..Kubatizwa ni kuoga?
Wewe unataka battle za dini, kwenye ubatizo maji ni ishara tu na sio yanayotakasa. Hakuna andiko lolote linaloelekeza ubatizo uwe wa maji kiasi gani zaidi wengi mnakimbilia ku refer Yesu kubatizwa mtoni na maana ya ubatizo yaani kuzamishwa!Hapo habatizwi bali anaoshwa kichwa!
Hayo mambo ya dini umeyaanzisha wewe!Wewe unataka battle za dini, kwenye ubatizo maji ni ishara tu na sio yanayotakasa. Hakuna andiko lolote linaloelekeza ubatizo uwe wa maji kiasi gani zaidi wengi mnakimbilia ku refer Yesu kubatizwa mtoni na maana ya ubatizo yaani kuzamishwa!
Kiasi cha maji hakijawahi kuwa issue toka enzi za mitume. Mkitoka kusema lazima yawe maji mengi itabidi tuulizane kiasi gani? Kwa maelekezo ya mapokeo au maandiko gani? Mkitoka hapo wengine watasema Yesu alibatizwa mtoni hivyo lazima ukabatizwe kwenye mto tu! Wengine watasema lazima uende mto jordan penyewe! n.k
Christianity sio imani ya juzi, tumepokezana miaka 2000 sasa kuanzia utaratibu wa ibada hadi masakramenti.
Neno au dhana? Maana hapo ndipo wasiotaka kusoma wanapoachwaUnaelewa maana ya kubatizwa?(BAPTISM?)
Jamaa pamoja na kukutana na papa kucheza Italy, hakuwahi kubatizwa? DuhAnasema toka utoto ukristo umekuwa nguzo yake ingawa hakuwahi kubatizwa.
wokovu ndio niniUbatizo ni sakramenti inayoleta wokovu, ndio sakramenti ya kwanza ili uwe Mkristo na kupokea mastahili ya Wokovu.