Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Ha h ha unategemea nini wakati yeye ni Madrid DNA kipindi alichocheza Barca alikua underground kama Paco Alcacer
sio Wabrazil tuu hata ambao. sio. asili ya Catalumya wanatengwa na mwisho sanaondoka kwa fedheha.. ref Erick Abidal na Samuel Etto
Maneno yana ukweli mwingi sanaMshambuliaji gwiji huyu amefunguka maneno haya wakati akimshauri kijana Coutinho juu ya uhamisho wake kwenda pale Barcelona.
Ronaldo amefunguka na kusema Barcelona hawana upendo na wachezaji wa Kibrazil akiwemo yeye mwenyewe wakati akicheza ndani ya wababe hao wa pasi nyingi pale jimbo la catalunia,ameenda mbali zaidi na kutaja wachezaji kama Romario,Rivaldo na fundi Ronaldodihno na kusema wote hawa hawajaondoka vizuri pale Barcelona.
Pia ametoa mfano wa siku za Karibuni juu ya kijana Neymar na kusema naye hajaondoka vizuri pale Barcelona na kusema mpaka leo kuna kesi juu ya uhamisho wake kwenda kwa matajiri wa Paris PSG(Paris saint German).
Binafsi napenda soka zuri la Barcelona ila haya maneno ya Ronaldo de lima yameniacha na ukakasi kidogo tukumbuke kijana mwingine wa Kibrazil Paulinho yupo pale Barcelona na amekua akipewa muda wa kutosha tu wakucheza na wakali hao wa Katalunia.
Je maneno ya Ronaldo yanaukweli ndani yake au ni chuki binafsi tu?ni muda wa Coutinho kuamua mbivu na mbichi.
Hata Eto aliondolewa ili asiwe best scorer of all time pale BarcaHata Yaya Toure tunajua Kilichomfika Barcelona! Aliondoshwa Akiwa na Uwezo...
Dany Alaves Kaondoshwa Barca Akiwa na Uwezo...
Rivaldo Akiwa Ni Mchezaji Bora Duniani Mwaka 1999/2000 Katengwa Na Barcelona na Kuondoshwa.
Si kweli mkuuHata Eto aliondolewa ili asiwe best scorer of all time pale Barca
Kwanini Toure aliondoshwa? Swali zuri mwalimu Guardiola alimuondoa Toure ,Toure hakuwa kwenye mipango ya Pep na ulaya timu huheshimu mipango ya kocha..Toure city si alikuwa lulu vipi Pep alivyotua city ? Toure kawekwa bench ..mpaka hapa point point yako nimei-crush problem sio Barca mwalimu Pep hakumtaka YayaHata Yaya Toure tunajua Kilichomfika Barcelona! Aliondoshwa Akiwa na Uwezo...
Dany Alaves Kaondoshwa Barca Akiwa na Uwezo...
Rivaldo Akiwa Ni Mchezaji Bora Duniani Mwaka 1999/2000 Katengwa Na Barcelona na Kuondoshwa.
Hata Yaya Toure tunajua Kilichomfika Barcelona! Aliondoshwa Akiwa na Uwezo...
Dany Alaves Kaondoshwa Barca Akiwa na Uwezo...
Rivaldo Akiwa Ni Mchezaji Bora Duniani Mwaka 1999/2000 Katengwa Na Barcelona na Kuondoshwa.
kweli kbs ilA lijamaa naona linaropoka tu ka padre mcharoHa h ha unategemea nini wakati yeye ni Madrid DNA kipindi alichocheza Barca alikua underground kama Paco Alcacer
kweli kbs ilA lijamaa naona linaropoka tu ka padre mcharoHa h ha unategemea nini wakati yeye ni Madrid DNA kipindi alichocheza Barca alikua underground kama Paco Alcacer
..Kwani upendo na kupewa nafasi ya kucheza kuna muingiliano upi?....Hawana Upendo ni kwamba Barca wanamtumia mtu kama big G hamuwezi kimaliza kwa Amani na Timu hiyo iliyojaa wabinafsi....Ronaldo yupo sawa 100%Mshambuliaji gwiji huyu amefunguka maneno haya wakati akimshauri kijana Coutinho juu ya uhamisho wake kwenda pale Barcelona.
Ronaldo amefunguka na kusema Barcelona hawana upendo na wachezaji wa Kibrazil akiwemo yeye mwenyewe wakati akicheza ndani ya wababe hao wa pasi nyingi pale jimbo la catalunia,ameenda mbali zaidi na kutaja wachezaji kama Romario,Rivaldo na fundi Ronaldodihno na kusema wote hawa hawajaondoka vizuri pale Barcelona.
Pia ametoa mfano wa siku za Karibuni juu ya kijana Neymar na kusema naye hajaondoka vizuri pale Barcelona na kusema mpaka leo kuna kesi juu ya uhamisho wake kwenda kwa matajiri wa Paris PSG(Paris saint German).
Binafsi napenda soka zuri la Barcelona ila haya maneno ya Ronaldo de lima yameniacha na ukakasi kidogo tukumbuke kijana mwingine wa Kibrazil Paulinho yupo pale Barcelona na amekua akipewa muda wa kutosha tu wakucheza na wakali hao wa Katalunia.
Je maneno ya Ronaldo yanaukweli ndani yake au ni chuki binafsi tu?ni muda wa Coutinho kuamua mbivu na mbichi.
View attachment 666564Halafu kuna lijamaa lililokunywa mbege linAtema shudu2......,c,hawa hapa wa brazuka wenzake.....,linataka aende Madridogs ama......,
Kabaki kuponda2 hata ukocha kanyimwaKitambi kinamsumbua huyo babu. Amekaa kidada dada sana.....achukuwe mfano wa Zidane mwanaume halisi
Kabaki kuponda2 hata ukocha kanyimwa
Madridogs wa kibongo tushawazoea[emoji23] [emoji23]Mkuu Ataupatia wapi huo ukocha,, hata mbao fc hatumpokei...achukue mfano kwa Zidane ambaye wamecheza timu moja,, hana mambo ya ushilawadu...alafu wengine wanakuja kusema eti yupo sahihi %100 ππ wabongo bwana!!
Madridogs wa kibongo tushawazoea[emoji23] [emoji23]
Wanamtetea mhanga mwenzAo......,[emoji13] [emoji13]
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]ππππ
Baada ya kum replace na zlatan nini kilitokea je na zlatan alikua mbinafsi?Samuel Etoo alikuwa Mbinafsi na Pep kwa Falsafa yake hakutaka Mchezaji Mbinafsi akamuuza etoo akamreplace na zlatan