britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Aliishia kusweatFainali za1998, inasemekana muda mchache kabla ya mechi hakuwa njema kiafya
Jikite kwenye hoja tafadhaliAmenenepa kama kitimoto
Wabrazil weng ndio walivyo, kwao kuna starehe nying na vyakula vingiAmenenepa kama kitimoto
ElphenomenonEl phenomena
Sio kanenepa kwa kupenda bali anaugonjwa uitwao Hypothyroidism unaoathiri hormone zinazosababisha overweight.Amenenepa kama kitimoto
Huo unene wa jamaa ni ugonjwa sio unene wa vyakula.Wabrazil weng ndio walivyo, kwao kuna starehe nying na vyakula vingi
Kawa bonge hivi duuuuhRonaldo original Amesema Kwamba alipata taarifa kutoka Kwa baadhi ya wahudumu wa sehem walikoweka kambi mwaka 1998 kwamba walimwekea sumu kwenye chakula na malazi ili asicheze vema , lakin alijitahidi kucheza kadri ya uwezo wake,
Na Hali hiyo ikataka kujirudia mwaka 2002 akasikia mazungumzo ya watu na wahudumu, Shahid wake ni Dida golikipa au Nyanda wao,
hilo jamaa ni linajua mpira,sio hivi vikina messi na cristina...nenda youtube ulioneKawa bonge hivi duuuuh