britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Ronaldo original Amesema Kwamba alipata taarifa kutoka Kwa baadhi ya wahudumu wa sehem walikoweka kambi mwaka 1998 kwamba walimwekea sumu kwenye chakula na malazi ili asicheze vema , lakin alijitahidi kucheza kadri ya uwezo wake,
Na Hali hiyo ikataka kujirudia mwaka 2002 akasikia mazungumzo ya watu na wahudumu, Shahid wake ni Dida golikipa au Nyanda wao,
Na Hali hiyo ikataka kujirudia mwaka 2002 akasikia mazungumzo ya watu na wahudumu, Shahid wake ni Dida golikipa au Nyanda wao,