Ronaldo hafai kuwa GOAT

Ronaldo hafai kuwa GOAT

Ronaldo ana gundu la kupishana nyakati nzuri. Kipindi yupo kwenye peak timu ya taifa ilikua mbovu sasa hivi angalao timu ya taifa ina wachezaji wazuri jamaa mpira tayari umeisha. Uero alikua mzigo kwenye mechi zote sema martinez alikua anaogopa kumpiga sub.

Messi nyakati zote za uchezaji wake Argentina ilikua na timu nzuri. Lilikua ni suala la muda tu aanze kubeba makombe na argentina. Ni kweli mchezaji anaweza kuleta tofauti lakin ubora wa timu inayomzunguka pia una nafasi kubwa
 
6Ni kweli kabisa, kipindi alipokuwa peak hakuweza kuibeba tinu maana waliomzunguka wachache walikuwa wanamfikia na bahati mbaya walikutana na timu zilizo bora zaidi Euro sijui mwaka gani ninesahau kidogo wakitolewa kitu kama kwa penati hivi kama siyo England ya Rooney basi timu nyingine.

Argentina ukiangalia timu nzima iko moto mpaka leo na siku zote Argentina huwa anasumbuliwa na nchi mbili tu Brazil na Colombia baasi
 
Personally sijawahi kumuonaga Ronaldo ni bora kuliko Messi.
 
6Ni kweli kabisa, kipindi alipokuwa peak hakuweza kuibeba tinu maana waliomzunguka wachache walikuwa wanamfikia na bahati mbaya walikutana na timu zilizo bora zaidi Euro sijui mwaka gani ninesahau kidogo wakitolewa kitu kama kwa penati hivi kama siyo England ya Rooney basi timu nyingine.

Argentina ukiangalia timu nzima iko moto mpaka leo na siku zote Argentina huwa anasumbuliwa na nchi mbili tu Brazil na Colombia baasi
Kidogo na ile chile ya vidal na sanchez ilimsumbua Argentina ila hawa wengine hakuna kitu
 
messi alikuwa na mchango kwenye timu yake kwenye hilo kombe walilobeba jana? hana tofauti na third choice keeper.
Super star wa hadhi kama yake kumaliza mashindano na goli moja tena la mchongo huku timu yako ikiwa ndio bingwa wa mashindano ni suala la aibu sana
 
That is it.

I'm writing this because Today The true footballer has added another trophy on his cupboard.

That man who is currently playing Al Nassr, He's not deserving to be true GOAT. The guy had not won the world cup neither he doesn't have the world cup runner up medal.

This means, no any point at the world cup competition he had tried his best to help his national team at least to reach final. That is worst.

And when you talking about another achievement in the national team level then Messi has achieved a lot that Ronaldo and it'll remain that way forever.
Hafaiii kuwa goat
Unatuwekea mambobya kizungh ndani sisi marooobot
Embu Weka hdn kwa kiingerezs tuende sawa
 
I agree with you ,, i watched one of his speech ,, he said
" It is true Leonel messi might be very rich but he looks like a homeless guy and ugly,, he is not handsome like me the only reason why he won world cup trophy is because he was born in Argentina .. ."

Actually ,, i couldn't believe if this words were said by someone like Cr 7 ,
Since then is when i realized Chris lacks knowledge and wisdom in his head and Messi will always remain my favorite player...
 
20240706_185137.jpg
 
Sisi huku tuna pambana ila kwao wamemuweka kwenye sarafu yenye thamani ya Euro 7 (The true meaning of CR7)
 
Lazima uiweke NO.7 ili ilete picha kamili ya mmiliki bora wa hiyo jezi wa muda wote hapa duniani.

Pele aliweza kujibebea namba yake binafsi.
Sisi huku tuna pambana ila kwao wamemuweka kwenye sarafu yenye thamani ya Euro 7 (The true meaning of CR7)
 
Kweli miaka inakimbia sana na hakuna ajuae ya kesho...

Nikikumbuka miaka ile kabla ya 2021 jinsi mashabiki wa Ronaldo walivyokuwa wanatamba kwenye huu mjadala wa nani ni Bora kati ya Hawa wawili, na point yao kubwa ilikuwa ni "Huyo Messi ameifanyia nini timu yake ya taifa.."??

Ila leo hii Hawa Hawa hawataki kabisa kusikia kile kigezo Cha timu ya taifa, na wakati ndio kigezo walichokitumia kwa miaka mingi kuonekana Wana hoja kwenye huu mjadala...... Daaah, kweli maisha yako Kasi sana
 
Back
Top Bottom