Ronaldo kanyanyua kaweka kombe mfukoni huko Uarabuni

Mwanangu usijaribu kufanya hivyo kwa simba hii ya cf ya Bocco, utaokota makopo muda siyo mrefu.
Simba hii ya 3bn na kocha huyu kimeo, Mungu akiwa upande wao watafungwa si chini ya bao 3-0
Nilikuwa na uhakika mkubwa sana, almost 98% kwamba Simba angeshinda.
 
Neymar yeye anaelekea, sasa endeleeni kulinganisha MLS na Saudi League
Ila wewe jamaa upatiwe tuzo na CR7 you are a true believer. Team Ronaldo wenzako tangu Messi anyanyue kwapa WC wamesalimu amri wamekaa pembeni wanaappreciate wote wawili ila wewe bado unampambania Roanldo kongole kwako😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…