Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Nilikuwa na uhakika mkubwa sana, almost 98% kwamba Simba angeshinda.Mwanangu usijaribu kufanya hivyo kwa simba hii ya cf ya Bocco, utaokota makopo muda siyo mrefu.
Simba hii ya 3bn na kocha huyu kimeo, Mungu akiwa upande wao watafungwa si chini ya bao 3-0