Ronaldo kuchukua tuzo ya tano ya FIFA inamaanisha nini katika ulimwengu wa soka wa leo

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,251
Ronaldo amechukua tuzo ya tano lakini ikiwa ni ya tatu mfululizo je hii ina mnisha nini kwa soka la leo n ina madhara gani kwa wapinzani wake katika soka na faida yake kibiashara kwa ronaldo mwenyewe
 
Mimi nilienda nyuma zaidi na kuamini kwamba. Nyota wa soka ulimwenguni wamepotea kabisa na ndio sbb kwa miaka 10 mfululizo ni Ronaldo na Mess ndio wamechukua tuzo hii tena kila mara wakiwaacha wenzao mbali.

Lkn pia nimebaini hawa ni vijana wawili waliojiwekea malengo yao ktk mpira na wameyatimiza.

Hongera sana CR7.
 
Ronaldo amechukua tuzo ya tano lakini ikiwa ni ya tatu mfululizo je hii ina mnisha nini kwa soka la leo n ina madhara gani kwa wapinzani wake katika soka na faida yake kibiashara kwa ronaldo mwenyewe
UKIWA NAAKILI UTAGUNDUA MAMBO YAAPA DUNIAN YAMEPANGWA NAYAKAPANGIKA.

KWAUFUPI ,,, WATU WANATAKA KUONA MALUMBANO YANANI MFALME WA MPIRA YAKIENDELEAA MPAKA SIKU YA KIAMA...
NDO MAANA YAMEANZIA KWAPELE NA MARADONA ..NAYATAENDELEA IVO IVO .
 
Ronaldo amechukua tuzo ya tano lakini ikiwa ni ya tatu mfululizo je hii ina mnisha nini kwa soka la leo n ina madhara gani kwa wapinzani wake katika soka na faida yake kibiashara kwa ronaldo mwenyewe
kachukua mara mbili mfululizo sio 3
 
Inaamanisha, awards ceremony Zimekua ni comedy shows.
Ni kipimo cha rushwa na uongo uliokithiri ndani ya fifa ukweli duniani kuna league na wachezaji bora hata ulaya hiyo hiyo kuna makipa bora beki bora na viungo wazuri kabisa ila kila siku fifa na wenzao wameendelea kutuamisha kuwa wachezaji bora ni hao hao ni kweli ila sio kwa miaka kumi mfululizo kuna wakati walikuwa si bora sana lakini wakapewa
 
Kwangu mimi inanitia moyo kwamba nisikate tamaa kwa chochote maishani maana ukifanya bidii Mungu hakutupi, just imagine mpinzani wake Messi alikuwa na Ballon'd or 4 yeye akiwa na 1 tu, watu walimkejeli sana kwamba si chochote mbele ya Messi, wachezaji legends karibu wote na makocha walikuwa wakitoa speech za kumsifia Messi ila Ronaldo ambaye ni mpinzani wake wakimpotezea na wengine wakimkandia, lakini hakugive up, unaambiwa yeye ndiye mchezaji anayejituma kuliko wote kwenye mazoezi, muda mwingi anautumia kwenye mazoezi tofauti na wenzake, hii inamàanisha kipaji pekee aliamini hakitoshi kufikia malengo yake, angekuwa mwingine angekata tamaa kutokana na chuki anazoonyeshwa na wachezaji wenzake + makocha + medias ambao wote kwa pamoja walikuwa wakimtukuza Messi na kumuona yeye si lolote. Leo Mungu amemuinua na kulingana na huyo ambaye aliaminika ni 'untouchable', tena ukiangalia katika individual awards kashampiga gape. Hardwork pays, never give up what I learned from this legend. Viva Ronaldo
 
Ronaldo amechukua tuzo ya tano lakini ikiwa ni ya tatu mfululizo je hii ina mnisha nini kwa soka la leo n ina madhara gani kwa wapinzani wake katika soka na faida yake kibiashara kwa ronaldo mwenyewe
Mara tatu mfululizo[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji9] [emoji9] uliza kwanza badala ya kukurupuka
 
Kwangu mimi inanitia moyo kwamba nisikate tamaa kwa chochote maishani maana ukifanya bidii Mungu hakutupi, just imagine mpinzani wake Messi alikuwa na Ballon'd or 4 yeye akiwa na 1 tu, watu walimkejeli sana kwamba si chochote mbele ya Messi, wachezaji legends karibu wote na makocha walikuwa wakitoa speech za kumsifia Messi ila Ronaldo ambaye ni mpinzani wake wakimpotezea na wengine wakimkandia, lakini hakugive up, unaambiwa yeye ndiye mchezaji anayejituma kuliko wote kwenye mazoezi, muda mwingi anautumia kwenye mazoezi tofauti na wenzake, hii inamàanisha kipaji pekee aliamini hakitoshi kufikia malengo yake, angekuwa mwingine angekata tamaa kutokana na chuki anazoonyeshwa na wachezaji wenzake + makocha + medias ambao wote kwa pamoja walikuwa wakimtukuza Messi na kumuona yeye si lolote. Leo Mungu amemuinua na kulingana na huyo ambaye aliaminika ni 'untouchable', tena ukiangalia katika individual awards kashampiga gape. Hardwork pays, never give up what I learned from this legend. Viva Ronaldo
It's true
 
Ni kipimo cha rushwa na uongo uliokithiri ndani ya fifa ukweli duniani kuna league na wachezaji bora hata ulaya hiyo hiyo kuna makipa bora beki bora na viungo wazuri kabisa ila kila siku fifa na wenzao wameendelea kutuamisha kuwa wachezaji bora ni hao hao ni kweli ila sio kwa miaka kumi mfululizo kuna wakati walikuwa si bora sana lakini wakapewa
Messi alikua akiwaonea haya akina Xavi na iniesta kipindi aliposhinda 2010 moja ya baloon d'or yenye utata mkubwa.
Lakin sifikirii Ronaldo atakua anawaonea tabu kina Luca Mudric. Jamaa mbinafsi big Ego .
Ila nivichekesho va hali ya jua Ronaldo kutoa tunzo mbele ya Luca Mudric
 
Ndio maana nasema ni uongo kuwa wao wamekuwa bora kwa miaka 10 mfululizo hapo ndio utajua fifa na wazungu nao ni wababaishaji tu kama walivyo wengine bora hata caf na tuzo yao mara nyingi huwa fair kidogo
Xavi na Iniesta kweli walikuwa wakumaliza soka bila hiyo tuzo!kuna wakati hata Pirlo alistahili Ibramovich alistahili Lahm Muller Libery Neur na wengine wengi ila fifa ikabaki na hao wawili kwa sababu zao binafsi

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa alitofautisha mpira wa Neymar na C. Ronaldo, mahala ambapo Ronaldo hawezi kufanya uwanjani Neymar anafanya, mwisho akahitimisha kwamba Neymar ni bora kuliko Ronaldo!!
 
Kweli kabisa maana kama kipimo ni "mwaka"ukiangalia ndani ya mwaka huu kuna watu wameangaliwa zaidi kuliko hao legend kuna neymar mwenyewe mbappe hazard kdb na wengine wengi.
 
Yes, wapo wachezaji wenye mipira mikubwa miguuni mwao kuliko hata hao kina Ronaldo na Messi, basi tu akili zimefungwa huko, magoli ya Neymar ni ya akili na kipaji zaidi si ya mazoezi zaidi, mipira ya Ronaldo yanaonesha ni ya mazoezi zaidi ndo maana anakesha kufanya mazoezi.
 
Back
Top Bottom