Ronaldo na Messi waendelea kuongoza orodha ya wachezaji wanaolipwa zaidi duniani

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
191
Reaction score
250
Cristiano Ronaldo na Lionel Messi bado wanaongoza katika orodha ya wachezaji wa soka wanaolipwa zaidi duniani mwaka huu, ingawa kizazi kipya cha wachezaji kinaendelea kupiga hatua.

1792400394103.png

Nyota hao wawili wanaendelea kuongeza utajiri wao unaofikia mabilioni ya dola, huku wachezaji chipukizi kama Lamine Yamal, Kylian Mbappé na Erling Haaland wakizidi kuongeza uwezo wao wa kujipatia mapato makubwa kufuatia Kombe la Dunia.

LAMINE YAMAL.jpg

RONALDO.jpg
 
Cristiano Ronaldo na Lionel Messi bado wanaongoza katika orodha ya wachezaji wa soka wanaolipwa zaidi duniani mwaka huu, ingawa kizazi kipya cha wachezaji kinaendelea kupiga hatua.

Nyota hao wawili wanaendelea kuongeza utajiri wao unaofikia mabilioni ya dola, huku wachezaji chipukizi kama Lamine Yamal, Kylian Mbappé na Erling Haaland wakizidi kuongeza uwezo wao wa kujipatia mapato makubwa kufuatia Kombe la Dunia.

Kwa mkutadha huu,nani ni mbuzii?
 
Yan wapili ndo hajafika hata nusu yamwamba
 
Back
Top Bottom