Ronaldo: Ni ngumu kushinda taji ukiwa na Ureno

Ronaldo: Ni ngumu kushinda taji ukiwa na Ureno

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Hatimae mwanasoka machachari C.ronaldo amesema ni rahisi sana kushinda mataji ukiwa na Brazil, Germany, Argentina, lakini ni ngumu kushinda ukiwa na Portugal.

Haya yote ni baada ya kutolewa na Morocco kwenye Quarter Final lakini Portugal ni moja ya timu ambazo zilikua zimekamilika kila idara na ni timu ambayo ilikua inanafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Dunia 2022 je ni kipi kilichotokea??

Je ni kikosi gani ungechagua hapa??

Leao
Felix
B. Fernandes
B Silva
R Neves
Otavio
Cancelo
Dalot
bench
Dias

OR

Alvarez
Lautaro
Dimaria
Mac Allister
RDP
Enzo
Acuna
Molina
Romero
Otamendi
Lisandro
Martinez?

IMG_8094.jpg
 
Ameshasahau Portugal walishinda kombe la Ulaya yeye akiwa benchi, awe na adabu kwa wenzake.

Hata Argentina hawana timu zaidi ya ile spirit tu waliyokuwa nayo kwenye yale mashindano.
 
Messi asingechukua ubingwa asingesema hili
Mnafiki uyu km chawa wake wengi wasio jua mpira
 
Angeenda kushindana kukimbia, mchezo wa kushindana mtu mmoja mmoja.
 
Changamoto ya Ronaldo ni kuona ni jukumu lake kufanya timu ishinde au isishinde na kusahau yeye ni sehemu ya timu
 
Back
Top Bottom