Cheki ratio hiyo ya magoli kwa mechi ya Messi mkuu halafu tupia pia jicho kwenye ratio ya RonaldoHaya mambo ya nani ni nani kwenye Kandanda yamejaa siasa sana na wala vigezo vyake havielewiki vizuri. Mimi naamiini Messi na Neymar wamezaliwa na vipaji ila Ronaldo ni "Fighter" sifa ambayo hao wawili hawana!?
Nimeona ndiyo maana nikasema vigezo vya nani ni nani kwenye Kandanda havieleweki. Wengine wakija watakuja na hoja ya mataji kwa klabu, wengine watasema nani kachukua mataji mengi akiwa na vilabu tofautitofauti.Cheki ratio hiyo ya magoli kwa mechi ya Messi mkuu halafu tupia pia jicho kwenye ratio ya Ronaldo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka kutuambia Ronaldo kipaji Hana?Kama ni kwenye Bongo fleva Neymar na Messi ni sawa na Barnabas na Banana Zorro wakati Ronaldo ni sawa na Diamond!!
Kwa ulinganisho na Messi au Neymar yeye kipaji chake kiko chini. Ila kwa bidii na juhudi za kufikia malengo yake, hao wawili hawamfikii.Kwahiyo unataka kutuambia Ronaldo kipaji Hana?
Umeona MASAMILA !!?kipindi wote kwa wakati tofauti walipotimiza miaka 28 ndio walikuwa na takwimu hizo...
Nikikuuliza maana ya kipaji wewe unaelewa Nini?Kwa ulinganisho na Messi au Neymar yeye kipaji chake kiko chini. Ila kwa bidii na juhudi za kufikia malengo yake, hao wawili hawamfikii.
Uwezo wa asili wa mtu kufanya kitu bila ya kujifunza kwa wengine. Ama ni stadi alizo nazo mtu kiufundi ziada kuliko kawaida kwa waliojifunza.Nikikuuliza maana ya kipaji wewe unaelewa Nini?
HahahahahHizi data data! Sizipendi, haiwezekani iwe duniani mpaka mbinguni, neymar akawa bora mbele ya cr7, hilo halipo na kamwe halitakuwepo!
Hiyo takwimu imereflect katika umri wa kimpira ambao mchezaji anachukuliwa kuwa kijanaUmeona MASAMILA !!?
Kwanza namshukuru kwa kujibu vizuri lakini jibu lako linakufunga wewe binafsi.Tuje kwa Ronaldo anafunga magoal for fun tokea alipokua Lisbon, man u,Real Madrid mpaka sasa yupo juve Ronaldo si mchezaji wakukosakosa ovyo Kama kina Giroud ambaye anamaliza kombe la dunia bila hata goal hii inakupa picha sio kila mtu anauwezo wakufunga magoal hata huyo Neymar sio mfungaji mzuri Kama Ronaldo. Kipaji Cha pili Cha Ronaldo ni uwezo wake wa kufunga magoal kupitia foul kick hata by statistics Ronaldo kamuacha Neymar by far.kipaji Cha tatu Cha Ronaldo ni uwezo wakutengeneza assists Inajulikana kwa watu wengi kwamba Ronaldo ni mchoyo pamoja na jamaa ni mchoyo lakini ni mtengenezaji mzuri wa nafasi za kufunga ana double digits nzuri nazungumzia kufunga na assist nyingi kuliko hata Neymar.Kipaji Cha nne ni kufunga kwa mguu wa kushoto, kulia pamoja na header na si wachezaji wote wenye uwezo wakufunga kwa njia zote hizo tatu ila kwa Ronaldo ni kawaida.Kipaji Cha tano mashuti Ronaldo ana uwezo wakufunga mipira ya mbali na hiki kitu huyo Neymar Hana.Sijamfananisha Ronaldo na messi cos wote wapo kwenye daraja moja ila sio kwa huyo Neymar Hana kipaji Cha kumzidi Ronaldo at all.Uwezo wa asili wa mtu kufanya kitu bila ya kujifunza kwa wengine. Ama ni stadi alizo nazo mtu kiufundi ziada kuliko kawaida kwa waliojifunza.
Ni tunu anayozaliwa nayo mtu. Ni kama vile watu wanaojifunza kuchora picha wakati wengine hawajajifunza na bado wanachora vizuri zaidi kuliko wale waliojifunza kuchora.
Bravo.Kwanza namshukuru kwa kujibu vizuri lakini jibu lako linakufunga wewe binafsi.Tuje kwa Ronaldo anafunga magoal as fun tokea alipokua Lisbon, man u,Real Madrid mpaka sasa yupo juve Ronaldo si mchezaji wakukosakosa ovyo Kama kina Giroud ambaye anamaliza kombe la dunia bila hata goal hii inakupa picha sio kila mtu anauwezo wakufunga magoal hata huyo Neymar sio mfungaji mzuri Kama Ronaldo. Kipaji Cha pili Cha Ronaldo ni uwezo wake wa kufunga magoal kupitia foul kick hata by statistics Ronaldo kamuacha Neymar by far.kipaji Cha tatu Cha Ronaldo ni uwezo wakutengeneza assists Inajulikana kwa watu wengi kwamba Ronaldo ni mchoyo pamoja na jamaa ni mchoyo lakini ni mtengenezaji mzuri wa nafasi za kufunga ana double digits nzuri nazungumzia kufunga na assist nyingi kuliko hata Neymar.Kipaji Cha nne ni kufunga kwa mguu wa kushoto, kulia pamoja na header na si wachezaji wote wenye uwezo wakufunga kwa njia zote hizo tatu ila kwa Ronaldo ni kawaida.Kipaji Cha tano mashuti Ronaldo ana uwezo wakufunga mipira ya mbali na hiki kitu huyo Neymar Hana.Sijamfananisha Ronaldo na messi cos wote wapo kwenye daraja moja ila sio kwa huyo Neymar Hana kipaji Cha kumzidi Ronaldo at all.
πππKwa ulinganisho na Messi au Neymar yeye kipaji chake kiko chini. Ila kwa bidii na juhudi za kufikia malengo yake, hao wawili hawamfikii.
Tatizo kubwa la watu wameaminishwa eti Ronaldo mazoezi yanambeba kuliko kipaji ingekuwa hivyo ibramovic angekuwa Bora kuliko Ronaldo tokea nianze kufuatilia mazoezi ya wachezaji sijaona mtu mwenye mazoezi magumu Kama Kadabra. alafu hawajui maana halisi ya kipaji wanadhani kipaji ni kupiga chenga watu 6 au kupiga kisigo au kupiga chenga ya baiskeli au kuonyesha manjonjo pekee wanashindwa kujua kipaji Ina package nyingi zaidi ya hivyo.
Uzi zingine bhana.Kumaliza ubishi Forward bora duniani kutokea pembeni namba moja Messi namba mbili Neymar
See attachment as ref
View attachment 1350614
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka uzi wa MILF wako Angella Kairuki ahhahahahHUzi zingine bhana.