Kwanza namshukuru kwa kujibu vizuri lakini jibu lako linakufunga wewe binafsi.Tuje kwa Ronaldo anafunga magoal as fun tokea alipokua Lisbon, man u,Real Madrid mpaka sasa yupo juve Ronaldo si mchezaji wakukosakosa ovyo Kama kina Giroud ambaye anamaliza kombe la dunia bila hata goal hii inakupa picha sio kila mtu anauwezo wakufunga magoal hata huyo Neymar sio mfungaji mzuri Kama Ronaldo. Kipaji Cha pili Cha Ronaldo ni uwezo wake wa kufunga magoal kupitia foul kick hata by statistics Ronaldo kamuacha Neymar by far.kipaji Cha tatu Cha Ronaldo ni uwezo wakutengeneza assists Inajulikana kwa watu wengi kwamba Ronaldo ni mchoyo pamoja na jamaa ni mchoyo lakini ni mtengenezaji mzuri wa nafasi za kufunga ana double digits nzuri nazungumzia kufunga na assist nyingi kuliko hata Neymar.Kipaji Cha nne ni kufunga kwa mguu wa kushoto, kulia pamoja na header na si wachezaji wote wenye uwezo wakufunga kwa njia zote hizo tatu ila kwa Ronaldo ni kawaida.Kipaji Cha tano mashuti Ronaldo ana uwezo wakufunga mipira ya mbali na hiki kitu huyo Neymar Hana.Sijamfananisha Ronaldo na messi cos wote wapo kwenye daraja moja ila sio kwa huyo Neymar Hana kipaji Cha kumzidi Ronaldo at all.