Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Baada ya jana kufunga mabao matatu katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Levante kwenye La Liga,mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi aka Andunje amebakiza mabao mawili kumfikia Christiano Ronaldo wa Real Madrid.

Messi alizidiwa mabao 14 na Ronaldo pale ambapo Messi alikuwa na mabao 8 huku Ronaldo akiwa na mabao 22. Kwasasa Ronaldo ana 28 huku Messi akiwa na 26.

Kimsingi,Ronaldo amekuwa kwenye likizo ya kufunga huku Messi akionyesha kiwango cha juu kabisa. Huyo ndiye Messi aka Andunje.

Updates....

Baada ya kupachika mabao matatu jana dhidi ya Rayo Vallecano,Messi sasa amemfikia Rnaldo kwa mabao ya kufunga.Ni 30 kila mmoja.Lakini Ronaldo ana mabao 9 ya penati huku Messi akiwa na 3 tu!
 
huu mwaka..unaonekana wa Andunje...
 
Pia Ronaldo alikuwa na Historia ya Hat Trick 23 La Liga huku Messi akiwa na 21. Ila kwa sasa wote wapo sawa.
Nampenda sana Messi, hana madoido ya kijinga uwanjani, anachoangalia yeye ni namna gani anaweza akasaidia timu ikapata ushindi ndani ya Uwanja mda wowote.
Nimemuona Ronaldinho akiwa Barca ila kwa Messi hapana aiseee.
Cristiano umri unaenda, Messi ndo kwanza ana 27. Messi ana nafasi kubwa ya kuweka Record nyingi zaidi hapa duniani.
 
Ukweli mtupu mkuu
 
Mkuu Tyta,kwanza niwekee kapicha ka Andunje. Halafu,Andunje si wa sayari hii katika kandanda
Lionel-messi-stats.jpg
 
Kuna watu hata kama hujawahi waona ukiona aama kuckia wanachofanya utawapenda kama huy mleta hii thid ninekuelewa nimekupenda ni mkweli mpk unaupita ukweli wenyewe weka picha ya andunje ambae kwa zawadi tu amezaliwa kizazi hiki
 
Mpaka dakika hii mimi nahesabia Barca wana asilimia 100% ya kombe moja mkononi yaani Copa del Ray.
Madrid hawana matuamini ya Kombe lolote lile, kwenye Lig muda wowote anatoka pale kileleni.
Na mwezi ujao wanapoenda Camp Nou, Barcelona hawawezi kuwaacha.
UEFA anaweza akasogea kimtindo ila sio kuchukua kombe.
Ronaldo mwaka huu habebi Kombe lolote lile akiwa na Madrid na wala kiatu cha dhahabu kubeba kwake ni ngumu sana ijapokuwa alikuwa na mwanzo mzuti. Kutoka magoli 14 mpaka mawili si mchezo.
 
Real wamekuaje tena, walianza vizuri ila baada ya kupigwa pigwa na Atlet baasi kila kitu kikaanza kufa taratibu.
Wasipokuwa makini ndo basi tena
 
Real wamekuaje tena, walianza vizuri ila baada ya kupigwa pigwa na Atlet baasi kila kitu kikaanza kufa taratibu.
Wasipokuwa makini ndo basi tena

Sasa hivi tofauti ni Point moja, Madrid hawana kombe msimu huu.
 
Halafu Penaldo huwa ana magoli mengi kupitia penalties...

Hii ipo misimu karibia yote aliyocheza Madrid...

Hadi sasa kwa msimu huu kati ya hayo magoli 28 ya Penaldo, magoli 8 ni kupitia matuta wakati Messi katika magoli hayo 26 ana magoli 2 tu ya matuta...

Hivyo katika open play, Messi kascore zaidi ya Penaldo aka Crynaldo...

Hapo bado sijataja 13 assists za Messi huku Penaldo akiwa na 10 assists...
 
Kaka mwaga Data wajue kwamba Messi ni habari nyingineeeeee
 
Mpaka dakika hii mimi nahesabia Barca wana asilimia 100% ya kombe moja mkononi yaani Copa del Ray.
Madrid hawana matuamini ya Kombe lolote lile, kwenye Lig muda wowote anatoka pale kileleni.
Na mwezi ujao wanapoenda Camp Nou, Barcelona hawawezi kuwaacha.
UEFA anaweza akasogea kimtindo ila sio kuchukua kombe.
Ronaldo mwaka huu habebi Kombe lolote lile akiwa na Madrid na wala kiatu cha dhahabu kubeba kwake ni ngumu sana ijapokuwa alikuwa na mwanzo mzuti. Kutoka magoli 14 mpaka mawili si mchezo.

Mark my words, kufungwa kwa madrid na atletico sio guarantee kuwa barca itawafunga madrid. Mark my words, march 22, barca anakaa tena kwa madrid kama alivyokaa mwanzoni mwa msimu.

Naona mnamuongelea messi kumfikia ronaldo, wakati ronaldo alifunga hizo goli 22 huku akiweka rekodi saafi kabisa ambayo messi hajawahi kuiweka. Katika ufungaji messi atasubiri sana kwa ronaldo. Kwa miaka 5 aliyokaa la liga, ana magoli mengi sana kumzidi messi

Halla madrid..!
 
Back
Top Bottom