Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Baada ya jana kufunga mabao matatu katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Levante kwenye La Liga,mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi aka Andunje amebakiza mabao mawili kumfikia Christiano Ronaldo wa Real Madrid.
Messi alizidiwa mabao 14 na Ronaldo pale ambapo Messi alikuwa na mabao 8 huku Ronaldo akiwa na mabao 22. Kwasasa Ronaldo ana 28 huku Messi akiwa na 26.
Kimsingi,Ronaldo amekuwa kwenye likizo ya kufunga huku Messi akionyesha kiwango cha juu kabisa. Huyo ndiye Messi aka Andunje.
Updates....
Baada ya kupachika mabao matatu jana dhidi ya Rayo Vallecano,Messi sasa amemfikia Rnaldo kwa mabao ya kufunga.Ni 30 kila mmoja.Lakini Ronaldo ana mabao 9 ya penati huku Messi akiwa na 3 tu!