redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Messi ni mchezaji Bora kabisa kuwai kutokea Barcelona ila kinachomfanya atofautiane na magwiji wengine kama Zidane, Ronldinho, Rotha Mateus, Maradona, Pele n.k ni kushindwa kuibeba Argentina kwa mabega yake mwenyewe, Argentina yenye vipaji lukuki vinavyo mzunguka kizazi kwa kizazi.Takwimu zinazungumza...[emoji116]View attachment 1234479
kwaiyo Mess atabakia kwenye kundi la wachezaji maarufu Kuwait kutokea kama Gerald wa liverpool, Shevchenko, Vanestrooy, Roone, Gian Franco Zolla, Rui Costa, George Hagi, Erick Cantona, Ian Rush n.k