Messi ni mchezaji Bora kabisa kuwai kutokea Barcelona ila kinachomfanya atofautiane na magwiji wengine kama Zidane, Ronldinho, Rotha Mateus, Maradona, Pele n.k ni kushindwa kuibeba Argentina kwa mabega yake mwenyewe, Argentina yenye vipaji lukuki vinavyo mzunguka kizazi kwa kizazi.Takwimu zinazungumza...[emoji116]View attachment 1234479
Tafuta stats za uefa,nani anaongoza kuweka freekicks kambani,nani anaongoza assist,nan anaongoza kutengeneza nafasi za magoli,n.k.Kisha rudi tena kuandika urojo wako.
Messi ni mchezaji Bora kabisa kuwai kutokea Barcelona ila kinachomfanya atofautiane na magwiji wengine kama Zidane, Ronldinho, Rotha Mateus, Maradona, Pele n.k ni kushindwa kuibeba Argentina kwa mabega yake mwenyewe, Argentina yenye vipaji lukuki vinavyo mzunguka kizazi kwa kizazi.
kwaiyo Mess atabakia kwenye kundi la wachezaji maarufu Kuwait kutokea kama Gerald wa liverpool, Shevchenko, Vanestrooy, Roone, Gian Franco Zolla, Rui Costa, George Hagi, Erick Cantona, Ian Rush n.k
Haya andika tenana wewe ushajiuliza messi angeanzia soka lake epl kingetokea nini?
Kuanzia 2009-2018Messi ni mkali zaidi. Hizo timu za EPL mnazomtishia Messi,nyingi alishazifunga. Na hamjiulizi ilikuwaje juzi juzi captain Virjil Van Djik (samahani kama nitakuwa nimekosea jina lake) aliyekuwa akipigiwa chapuo kutwaa tuzo ya FIFA male best player, ye mwenyewe alimpigia kura Leo Messi?
Kama kuna mtu bado anabisha nimwulize swali: katika mechi za El Classico zilizowakutanisha Messi vs Ronaldo, nani alim-outshine mwenzake? Jibu unalo labda kama unataka ligi ya maneno iendelee tu.
We kweli dish, hata huko eufa ronaldo anashindana na messi kwa kufunga tu.Tafuta stats za uefa,nani anaongoza kuweka freekicks kambani,nani anaongoza assist,nan anaongoza kutengeneza nafasi za magoli,n.k.Kisha rudi tena kuandika urojo wako.
Ushajiuliza Ronaldo angeanzia soka lake La Liga kingetokea nini?!
Huyu messi inshort ligi na barcelona vinambeba,kama unabisha kuja hapa View attachment 1236884
Pumba speakers huwa wananifurahisha sana. Utasikia ooh Messi hajawahi kucheza ligi ngumu ya Uingereza, lakini wanasahau Messi kashazifunga club zote kubwa za Uingereza. Sisi Arsenal tumekula za kutosha na wenzetu Wanteser United waliweka historia ya mbilikimo kufunga goli la kichwa mbele ya mabeki warefu kiasi Ferguson akapata kiharusi uwanjani
Mbona hii picha,huizungumzii chochote?Nimezicheki mpaka mwisho kamanda wangu...No comment [emoji119]
na wewe ushajiuliza messi angeanzia soka lake epl kingetokea nini?
Hawezi jiuliza.Ndo maana takwimu za Ronaldo,kuanzia msimu wa 2009/10 mpaka anaondoka madrid,huwezi kukuta wameziweka au kuzizungumzia hata siku moja.
Mbona hii picha,huizungumzii chochote?View attachment 1237578
Kwani kufunga ndo kucheza kwenye ligi?.Au unasahau inayocheza ni barcelona na nani ambaye ajui kua toka enzi na enzi ata kabla ya messi barcelona imekua ikizisumbua timu za uingereza.Pumba speakers huwa wananifurahisha sana. Utasikia ooh Messi hajawahi kucheza ligi ngumu ya Uingereza, lakini wanasahau Messi kashazifunga club zote kubwa za Uingereza. Sisi Arsenal tumekula za kutosha na wenzetu Wanteser United waliweka historia ya mbilikimo kufunga goli la kichwa mbele ya mabeki warefu kiasi Ferguson akapata kiharusi uwanjani
Ukiona uyo anayesifiwa kua na uwezo mkubwa na takwimu nzuri hadi kura zinachakachuliwa ili ashinde lazima ufikiri mara mbili.Hiyo haina tofauti na CCM kujigamba wanapendwa na kushinda kwa kishindo wakati walifanya uchaguzi refarii akiwa wao na mpizani akiwa kafungwa mikono, mdomo na miguu.Ukweli bado uko wazi sana kua cr7 anajitahidi zaidi ya messi kwasababu ya mambo yanayoonekana dhahiri bila kuweka chumvi.Ronaldo/Madrid[emoji116]
La Liga: 2011β12, 2016β17
Copa del Rey: 2010β11, 2013β14
Supercopa de EspaΓ±a: 2012, 2017
UEFA Super Cup: 2014, 2017
FIFA Club World Cup: 2014, 2016, 2017
King-Barcelona[emoji116]
La Liga: 2004β05, 2005β06, 2008β09, 2009β10, 2010β11, 2012β13, 2014β15, 2015β16, 2017β18, 2018β19...kwanzia 2009 mpaka 2019 Messi kishabeba La liga 7 na Ronaldo akiwepo madrid
Copa del Rey: 2008β09, 2011β12, 2014β15, 2015β16, 2016β17, 2017β18...2009-2018 Messi kishabeba Copa del rey 5 na Ronaldo akiwepo madrid
Supercopa de EspaΓ±a: 2005, 2006, 2009, 2010, 2011, 2013, 2016, 2018...2009-2018 Messi kishabeba 6 na Ronaldo akiwepo madrid
UEFA Super Cup: 2009, 2011, 2015=3 na Ronaldo akiwepo madrid
FIFA Club World Cup: 2009, 2011, 2015=3 na Ronaldo akiwepo madrid
Golden boot katika misimu ifuatayo na Ronaldo akiwepo Madrid[emoji116]
2009=1
2011=1
2012=1
2016=1
2017=1
2018=1
...............=6 Golden Boot na bado alipata injury sana.