Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,568
- 1,603
Wachezaji wako busy kujiandaa na mechi ya marudiano na Athletic Bilibao kombe la mfalme,kwahiyo hakuna mda wa kwenda huko kwenye hizo sherehe viongozi ndo wameenda kuwawakilisha,sio kwamba wamekimbia kumbuka ilibidi waende Messi,Neymar,Suarez na Pique.Mkuu kwanini wote wamikimbia tuzo wachezaji wa Barcelona?
Hakuna hata mwakilishi wamesusa
Tumuombee kwa Mungu, alivyo na hasira anaweza kujinyonga aisee!!Kanuna huko alipo aisee. Hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haonekani Kama faru john, au ameenda kumwakilisha andunje kwenye tuzo??
Best player of the world once again tonight in history........
Ndo hivyo Messi anazo 5,Rinaldo 4 Ronaldo kabakiza jina tu kama nyoka wa mtoni,umri unaenda hiyo ndo tuzo ya mwisho messi bado anazo kama 2 hivi kabla hajamwachia mikoba NeymarSimchukii lakini sipendi achukue wakati Ronald bado yupo anatamba asubiri Ronald astaafu.......
Huyu ni hasimu wangu kwenye mpira lazima niseme ukweli.......
Kuna Wimbo unaitwa ''JIPE MOYO'' kausikilize ukuliwazeNdo hivyo Messi anazo 5,Rinaldo 4 Ronaldo kabakiza jina tu kama nyoka wa mtoni,umri unaenda hiyo ndo tuzo ya mwisho messi bado anazo kama 2 hivi kabla hajamwachia mikoba Neymar
Mashabiki wa Man U mnahaha kweli na Messi mwenye matuzo kibao na Ballon D'or 5,ya kwenu EPL yamewashinda mmeanza kumvaa Messi na Barca yake.Messi anaona Baja... 😀😀😀😀 katoka nduki ati wana mechi ngumu aibu hiyo na ile time ya kina ihaki williams hawaiwezi so watapoteza huku na kule.. jana wameponea chupu chupu kufungwa wakalazimisha sale... Messi hataki tena aibu kama aliyoipata kwenye Ballon D'Or Sasa Ronaldo ananyakuka award zote bila kumbakizia Messi Muhahahahaha anaona Baja huyo... kwanza kila mtu kamshangaa yeye na Barca kuona soo na wao wamesepa raisi wao tu ndio atakuwepo kushuhudia CR7 akituzwa Uchezji bora wa Fifa Kweli Ronaldo anatisha... Messi asubiri Ronaldo azeeke... Na Msimu huu Champion wa la liga unaenda Madrid Zizuu ah Kombe la Mfalme,Champions league na mengine sijui Mfalme Mbuzi n.k yaani yote... Huku Barca wakioa yoyoyoyo
Mbona na Nyie Arsenal Messi anawahusu nini?Mashabiki wa Man U mnahaha kweli na Messi mwenye matuzo kibao na Ballon D'or 5,ya kwenu EPL yamewashinda mmeanza kumvaa Messi na Barca yake.
Tazama suti ilivyotulia kwenye mwili. Yaani suti inampenda Cr7 sio Cr7 anaipenda suti, Yule mdori wa panyalona akivaa suti utafikiri imevalishwa skeleton za maabara.
Eti mechi ngumu yaani A.Bilbao wamekuwa wagumu mara hii? Je mngekuwa na ratiba kama ya RWachezaji wako busy kujiandaa na mechi ya marudiano na Athletic Bilibao kombe la mfalme,kwahiyo hakuna mda wa kwenda huko kwenye hizo sherehe viongozi ndo wameenda kuwawakilisha,sio kwamba wamekimbia kumbuka ilibidi waende Messi,Neymar,Suarez na Pique.
Kapigilia msumari, but for sure CR7 alistahili this time.Na King Cr 7 kawaweza kataja kuwa ana sikitika haja waona [emoji23] [emoji23]
Hata mimi nilitaka zidane but, Yes alijaribu 15/2016 naona wako fare
Nawe msalimie Zomba....