Ronaldoooooo......

Ronaldoooooo......

Mkuu kwanini wote wamikimbia tuzo wachezaji wa Barcelona?

Hakuna hata mwakilishi wamesusa
Wachezaji wako busy kujiandaa na mechi ya marudiano na Athletic Bilibao kombe la mfalme,kwahiyo hakuna mda wa kwenda huko kwenye hizo sherehe viongozi ndo wameenda kuwawakilisha,sio kwamba wamekimbia kumbuka ilibidi waende Messi,Neymar,Suarez na Pique.
 
football-soccer-fifa-awards-ceremony-best-player_76856af0-d69e-11e6-a260-7aa04c68bc63.jpg
 
Simchukii lakini sipendi achukue wakati Ronald bado yupo anatamba asubiri Ronald astaafu.......

Huyu ni hasimu wangu kwenye mpira lazima niseme ukweli.......
Ndo hivyo Messi anazo 5,Rinaldo 4 Ronaldo kabakiza jina tu kama nyoka wa mtoni,umri unaenda hiyo ndo tuzo ya mwisho messi bado anazo kama 2 hivi kabla hajamwachia mikoba Neymar
 
Messi anaona Baja... 😀😀😀😀 katoka nduki ati wana mechi ngumu aibu hiyo na ile time ya kina ihaki williams hawaiwezi so watapoteza huku na kule.. jana wameponea chupu chupu kufungwa wakalazimisha sale... Messi hataki tena aibu kama aliyoipata kwenye Ballon D'Or Sasa Ronaldo ananyakuka award zote bila kumbakizia Messi Muhahahahaha anaona Baja huyo... kwanza kila mtu kamshangaa yeye na Barca kuona soo na wao wamesepa raisi wao tu ndio atakuwepo kushuhudia CR7 akituzwa Uchezji bora wa Fifa Kweli Ronaldo anatisha... Messi asubiri Ronaldo azeeke... Na Msimu huu Champion wa la liga unaenda Madrid Zizuu ah Kombe la Mfalme,Champions league na mengine sijui Mfalme Mbuzi n.k yaani yote... Huku Barca wakioa yoyoyoyo

i

i
Mashabiki wa Man U mnahaha kweli na Messi mwenye matuzo kibao na Ballon D'or 5,ya kwenu EPL yamewashinda mmeanza kumvaa Messi na Barca yake.
 
the-best-fifa-football-awards_449d7d88-d69a-11e6-a260-7aa04c68bc63.jpg


Hapo Ronaldo alijibu swali: tarajieni na Mwaka huu pia nitaendelea kuwa Bora inshallah... Dah Ronaldo anatisha... Griezmann moyoni akisema I hate you i hate you ila ndio hivyo tena humuwezi njoo Manchester United ukuze kiwango
 
The Best of the Best...

Andunje wapi pale na sindano za farasi!
 
Wachezaji wako busy kujiandaa na mechi ya marudiano na Athletic Bilibao kombe la mfalme,kwahiyo hakuna mda wa kwenda huko kwenye hizo sherehe viongozi ndo wameenda kuwawakilisha,sio kwamba wamekimbia kumbuka ilibidi waende Messi,Neymar,Suarez na Pique.
Eti mechi ngumu yaani A.Bilbao wamekuwa wagumu mara hii? Je mngekuwa na ratiba kama ya R
Madrid si hata kula ingekuwa ishu?
 
Back
Top Bottom