[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Tumuombee kwa Mungu, alivyo na hasira anaweza kujinyonga aisee!!
Mkuu Mpira ndio unatutolea stress baada ya huyu tembo kutuchanganya ...Mkuu sikujua kama ni mpenzi wa kandanda.
Starehe za dunia usilinganishe na imani ya dini siku akisema hapendi pombe au sigara utamuuliza yeye ni dini gani ?Wewe mshamba una sali imani gani,masikini Mali na akili kama wewe chuki haziepukiki,nikajua ni chuki kwa Lowasa tu,kumbe hata watu wasio na madhara kwenye maisha yako unawachukia?
Resister ni bendi au!!!Craudio Rainier daaaah resister kachukua kocha bora wa mwaka.
Huyo ni mmoroco tuzo za mbelekoHehehe
Penssi kakimbia hata kwenda haja enda
Mwaka huu barca watakoma
King ana 5
King 5Kanuna huko alipo aisee. Hahaha
Wivu wa kike unawasumbua!Mkuu kwanini wote wamikimbia tuzo wachezaji wa Barcelona?
Hakuna hata mwakilishi wamesusa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Huyo ni mmoroco tuzo za mbeleko
eenh zomba gani tena huyo Inna li Lilahi wainna ilai rajiunInna li Llahi Wainna Ilayhi Rajiun.