Ronaldoooooo......

Ronaldoooooo......

UKISEMA YA N WENZIO WATAKITAKA LINI

TENDO LA MESSI KUZIRA KUJA SHUHULINI IMEONYESHA UDHAIFU GANI ALIONAOO HUYUJAMAA

KWANZA AKUBALI AKIWAHI KUSHINDA MARA NNE ZOTE RONALDO NYUMA YAKE NA ANAHUDHURIA
S
KUZIRA KUJA AKUKUSAIDIA KUTOMTANGAZA RONALDO KAMA MCHEZAJI BORA WA DUNIA.... NAHISI ITAKUWA FUNDISHO KWA WENZIE HATAKAMA SUTI ZILILOWA MBONA MWENZIE WA AFRICA ALIKUJA NA JENS NA TSHIRT
 
Mkuu sikujua kama ni mpenzi wa kandanda.
Mkuu Mpira ndio unatutolea stress baada ya huyu tembo kutuchanganya ...

Nafatilia sana sana Ronald is my favourite player......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wewe mshamba una sali imani gani,masikini Mali na akili kama wewe chuki haziepukiki,nikajua ni chuki kwa Lowasa tu,kumbe hata watu wasio na madhara kwenye maisha yako unawachukia?
Starehe za dunia usilinganishe na imani ya dini siku akisema hapendi pombe au sigara utamuuliza yeye ni dini gani ?
 
Mchezaji bora alitakiwa kuwa mahrez kama kocha bora Ranieri ... Nike wana mkono kwa Ronaldo
 
Napita tu nawasalimia wagonjwa, mwashindwaje na khaki yakheee???
 
Back
Top Bottom