Wale wa udsm room inauzwa hall 1 iko ground floor.,..kwa jinsia (ke) tu!
Kama uko tayari ni PM
ukitoa hiyo room bure kwa mwenye uhitaji utapungukiwa nini dada yangu?Wale wa udsm room inauzwa hall 1 iko ground floor.,..kwa jinsia (ke) tu!
Kama uko tayari ni PM
ukitoa hiyo room bure kwa mwenye uhitaji utapungukiwa nini dada yangu?
we mtoto naona unanifuatilia sana kila nikpost........fwedha ya ma2mizi.
ukitoa hiyo room bure kwa mwenye uhitaji utapungukiwa nini dada yangu?
Hivi kumbe hata mabinti mnapatikana kwenye ujinga huu!!
Hivi ukimtafuta binti mwenzio mathalani aliyekosa mkopo,au dada yako mwaka wa pili au wa Tatu ukawapa hiyo rum utapungukiwa nini ili hali wewe huna shida nayo?
Chuo ni zaidi ya masomo dada yangu,mnatakiwa muishi kindugu zaidi,toa msaada kwa wale wenye kuhitai msaada wako na siyo kukimbilia Pesa.
Kuwa mwangalifu asije akanunua Mukandala hiyo Room, na Udsm ukaisikia Bombani.
Wale wa udsm room inauzwa hall 1 iko ground floor.,..kwa jinsia (ke) tu!
Kama uko tayari ni PM
we mtoto naona unanifuatilia sana kila nikpost........
ktako kwel wewe,mimi siyo dogo madogo wapo nyumbani kwako.
fwedha ya ma2mizi.
Wale wa udsm room inauzwa hall 1 iko ground floor.,..kwa jinsia (ke) tu!
Kama uko tayari ni PM
Ndio Maana tunaikemea Tabia ya Namna Hii,iendelee paka lini?msimlaumu huyu dada,tatizo ni mfumo mbovu uliojengeka hapo udsm watu wanarisishana tabia.
Nani Kakwambia Pesa ya Matumizi itakua Solved kwa kuuza Chumba? Kama ungekua unafikiri Vizuri ukimpa Mtu Hiyo Room na Kwa Maisha Ya UDSM Utakua umemsaidia sana kiasi kwamba Si rahisi kukusahau na Tayari unakua ushajiwekea Hazina Ya Urafiki wa kudumu na Inakua Rahisi hata Kusaidiana Zaidi kuliko Kumuuzia Then Mkasahauliana maana hapo hata Shukrani inakua Ndogo si Umepata Pesa? jitahidi kufikri zaid kuliko kutamani Pesa.
Wale wa udsm room inauzwa hall 1 iko ground floor.,..kwa jinsia (ke) tu!
Kama uko tayari ni PM