Room inauzwa Main Campus UDSM

Room inauzwa Main Campus UDSM

IVAN37

Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
11
Reaction score
1
Wale wa udsm room inauzwa hall 1 iko ground floor.,..kwa jinsia (ke) tu!

Kama uko tayari ni PM
 
Huoni kua ni kosa? Acha tamaa ya Pesa,kama wewe ni Msomi weka mbele Upendo kwa Wenzio sio Pesa,ukiwa Na upendo Milango ya Kupata Pesa Inafunguka Yenyewe,hiyo Room kama huitaki Mpe Mwenzio mwenye Shida.
 
Wale wa udsm room inauzwa hall 1 iko ground floor.,..kwa jinsia (ke) tu!

Kama uko tayari ni PM

Hivi kumbe hata mabinti mnapatikana kwenye ujinga huu!!

Hivi ukimtafuta binti mwenzio mathalani aliyekosa mkopo,au dada yako mwaka wa pili au wa Tatu ukawapa hiyo rum utapungukiwa nini ili hali wewe huna shida nayo?

Chuo ni zaidi ya masomo dada yangu,mnatakiwa muishi kindugu zaidi,toa msaada kwa wale wenye kuhitai msaada wako na siyo kukimbilia Pesa.
Kuwa mwangalifu asije akanunua Mukandala hiyo Room, na Udsm ukaisikia Bombani.
 
Mbona umemdharau sna vc wa chuo we mbupu......toka hapa biaaaccctthhhhhhh
 
fwedha ya ma2mizi.

Nani Kakwambia Pesa ya Matumizi itakua Solved kwa kuuza Chumba? Kama ungekua unafikiri Vizuri ukimpa Mtu Hiyo Room na Kwa Maisha Ya UDSM Utakua umemsaidia sana kiasi kwamba Si rahisi kukusahau na Tayari unakua ushajiwekea Hazina Ya Urafiki wa kudumu na Inakua Rahisi hata Kusaidiana Zaidi kuliko Kumuuzia Then Mkasahauliana maana hapo hata Shukrani inakua Ndogo si Umepata Pesa? jitahidi kufikri zaid kuliko kutamani Pesa.
 
msimlaumu huyu dada,tatizo ni mfumo mbovu uliojengeka hapo udsm watu wanarisishana tabia.
 
Dada unauza kiasi gani? dalali nipo hapa changamka, munashangaa chumba kuuzwa mbona kila kitu kimeshauzwa nchi hii, migodi inatifishwa kule hamuulizi
 
Nani Kakwambia Pesa ya Matumizi itakua Solved kwa kuuza Chumba? Kama ungekua unafikiri Vizuri ukimpa Mtu Hiyo Room na Kwa Maisha Ya UDSM Utakua umemsaidia sana kiasi kwamba Si rahisi kukusahau na Tayari unakua ushajiwekea Hazina Ya Urafiki wa kudumu na Inakua Rahisi hata Kusaidiana Zaidi kuliko Kumuuzia Then Mkasahauliana maana hapo hata Shukrani inakua Ndogo si Umepata Pesa? jitahidi kufikri zaid kuliko kutamani Pesa.

Bora uwape somo mkuu.
 
acheni mambo ya ajabu bhana..huo ndo mfumo ulivyo..mtu anauza ili apate cash apange au achukue room bora zaidi so sio mpango wala nini kumtukana huyo dada
 
Back
Top Bottom