Hapo kadirio ni kama uwe n milion 3 n laki 4 unamaliza kila kituHabari Wana Jf Mimi nikijana wa miaka 22 nipo Arusha nimepambana na mtaa nikanunua kiwanja Sasa bado napambana ili niwekee room Moja na choo chandani naombeni mchanganuo wa material na bei. mpaka ikamilike bati nilakujificha (hidden roof) ukubwa ni 5m kwa 5m
Natanguliza shukran zangu
Ni lazima kila thread u comment? Unajiita mshangazi ili upate attention?..Acha kujenga wewe! Utajenga uzeeni.
Ni lazima kila thread u comment? Unajiita mshangazi ili upate attention?..
Huku sio Facebook ukiona huwezi changia kuwa msomaji kauliza asijenge au ajenge mjinga wewe
Ebu msaidie kufanya mchanganuoHapo kadirio ni kama uwe n milion 3 n laki 4 unamaliza kila kitu
Nilawhi kuwa na wazo kama la jamaa. Ila hatafuti vizur mana Facebook mchanganuo kibao tuEbu msaidie kufanya mchanganuo
Haiwezekani joh usimpotosheHapo kadirio ni kama uwe n milion 3 n laki 4 unamaliza kila kitu
Milioni nane kinakuwa standard iko chumba master,tena nyingiHabari Wana Jf Mimi nikijana wa miaka 22 nipo Arusha nimepambana na mtaa nikanunua kiwanja Sasa bado napambana ili niwekee room Moja na choo chandani naombeni mchanganuo wa material na bei. mpaka ikamilike bati nilakujificha (hidden roof) ukubwa ni 5m kwa 5m
Natanguliza shukran zangu
Chumba kikiwa master inamaana wageni wake watapita chumbani ili wafike choo mini?Milioni nane kinakuwa standard iko chumba master,tena nyingi
Hili nalo unataka usaidiwe? Hakuna mafundi huko?Habari Wana Jf Mimi nikijana wa miaka 22 nipo Arusha nimepambana na mtaa nikanunua kiwanja Sasa bado napambana ili niwekee room Moja na choo chandani naombeni mchanganuo wa material na bei. mpaka ikamilike bati nilakujificha (hidden roof) ukubwa ni 5m kwa 5m
Natanguliza shukran zangu