Room Moja na choo

Room Moja na choo

Yukwapi

Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
90
Reaction score
170
Habari Wana Jf Mimi nikijana wa miaka 22 nipo Arusha nimepambana na mtaa nikanunua kiwanja Sasa bado napambana ili niwekee room Moja na choo chandani naombeni mchanganuo wa material na bei. mpaka ikamilike bati nilakujificha (hidden roof) ukubwa ni 5m kwa 5m
Natanguliza shukran zangu
 
Hapo kadirio ni kama uwe n milion 3 n laki 4 unamaliza kila kitu
 
Ni lazima kila thread u comment? Unajiita mshangazi ili upate attention?..

Huku sio Facebook ukiona huwezi changia kuwa msomaji kauliza asijenge au ajenge mjinga wewe

Mweeh!! Mapovu yanakutoka mtoto wa watu kwenye uzi wa watu. Haya nisamehe kwa kukudhania huna roho ya korosho na mie
 
IMG_-mmdu39.jpg
Ramani hii apa nicheki 0757552515 tumalize kazi boss
 
Habari Wana Jf Mimi nikijana wa miaka 22 nipo Arusha nimepambana na mtaa nikanunua kiwanja Sasa bado napambana ili niwekee room Moja na choo chandani naombeni mchanganuo wa material na bei. mpaka ikamilike bati nilakujificha (hidden roof) ukubwa ni 5m kwa 5m
Natanguliza shukran zangu
Milioni nane kinakuwa standard iko chumba master,tena nyingi
 
Uzuri wa kuishi kwenye kiwanja chako ni kuwa una kitunza na so rahisi kuibiwa na pia unapata motivation ya kujenga.
 
Habari Wana Jf Mimi nikijana wa miaka 22 nipo Arusha nimepambana na mtaa nikanunua kiwanja Sasa bado napambana ili niwekee room Moja na choo chandani naombeni mchanganuo wa material na bei. mpaka ikamilike bati nilakujificha (hidden roof) ukubwa ni 5m kwa 5m
Natanguliza shukran zangu
Hili nalo unataka usaidiwe? Hakuna mafundi huko?
 
Unataka chumba cha kupanga Single au Master Maeneo ya kigamboni karibu na Ferry, au magomeni Sinza, Ubungo Makumbusho na maeneo mengineyo hapa Dar?

Comment "Nataka" upate room chap chap

Piga: 0759448927
 
Back
Top Bottom