kitafahamika mbele usihof mkuu! Mimi ndo nimempata jana na sasa nina utulivu moyon! Ila hii ishu kaz ipo kumpata
wadau mimi ndo naingia 2 year, nahitaji mtu wa kunibeba au kama ---- mdau anafaham jinsi gani ntapata room hata ya kununua mimi nko tayari kwa hilo.
kwa yoyote mwenye mssaada ani PM.
Natanguliza shukurani.
Poleni sana vijana, duuu!wadau mimi ndo naingia 2 year, nahitaji mtu wa kunibeba au kama ---- mdau anafaham jinsi gani ntapata room hata ya kununua mimi nko tayari kwa hilo.
kwa yoyote mwenye mssaada ani PM.
Natanguliza shukurani.
hayo ni maisha tu mkuu ,xo usijaji maisha ya Mtu,shukuru Mungu kwa hilo! kupanga mtaani si kazi rahisi,kwanza gharama zake ni kubwa na kumbuka kuna watu wanawasomesha wadogo zao kwa hicho kidogo kinachotolewa na HESLB,hivyo bora uishi campus kwa sababu gharama inakuwa ndogo.Poleni sana vijana, duuu!
Enzi zetu pale hall 6 ilikuwa ndio habari ya chuo. Vyumba vyote kuanzia hall1-7 tulikuwa tunakaa wawili tu chumba kimoja. hakuna cha kubebana wala wala mzungu wa nne. Nasikitika sana kuona mazingira ya kusoma yamekuwa kwa style hiyo ya kubebana. Poleni sana. Hata darasani nimepita siku za nyuma nimeona watu wanasoma huku wanakaa nje.
Halafu ndio chuo chetu kipo katika top 10 Africa nzima......mazingira ya kusoma ndio hayo, perhaps ndio maana Africa imefika ilipofika.
Poleni sana
hayo ni maisha tu mkuu ,xo usijaji maisha ya Mtu,shukuru Mungu kwa hilo! kupanga mtaani si kazi rahisi,kwanza gharama zake ni kubwa na kumbuka kuna watu wanawasomesha wadogo zao kwa hicho kidogo kinachotolewa na HESLB,hivyo bora uishi campus kwa sababu gharama inakuwa ndogo.
Poleni sana vijana, duuu!
Enzi zetu pale hall 6 ilikuwa ndio habari ya chuo. Vyumba vyote kuanzia hall1-7 tulikuwa tunakaa wawili tu chumba kimoja. hakuna cha kubebana wala wala mzungu wa nne. Nasikitika sana kuona mazingira ya kusoma yamekuwa kwa style hiyo ya kubebana. Poleni sana. Hata darasani nimepita siku za nyuma nimeona watu wanasoma huku wanakaa nje.
Halafu ndio chuo chetu kipo katika top 10 Africa nzima......mazingira ya kusoma ndio hayo, perhaps ndio maana Africa imefika ilipofika.
Poleni sana
Poleni sana vijana, duuu!
Enzi zetu pale hall 6 ilikuwa ndio habari ya chuo. Vyumba vyote kuanzia hall1-7 tulikuwa tunakaa wawili tu chumba kimoja. hakuna cha kubebana wala wala mzungu wa nne. Nasikitika sana kuona mazingira ya kusoma yamekuwa kwa style hiyo ya kubebana. Poleni sana. Hata darasani nimepita siku za nyuma nimeona watu wanasoma huku wanakaa nje.
Halafu ndio chuo chetu kipo katika top 10 Africa nzima......mazingira ya kusoma ndio hayo, perhaps ndio maana Africa imefika ilipofika.
Poleni sana
kubeba inakuwaje tufafanulien kidogo
@mdgree,usihof bro mi nimepata apo ntakubeb nkpata room
Poleni sana vijana, duuu!
Enzi zetu pale hall 6 ilikuwa ndio habari ya chuo. Vyumba vyote kuanzia hall1-7 tulikuwa tunakaa wawili tu chumba kimoja. hakuna cha kubebana wala wala mzungu wa nne. Nasikitika sana kuona mazingira ya kusoma yamekuwa kwa style hiyo ya kubebana. Poleni sana. Hata darasani nimepita siku za nyuma nimeona watu wanasoma huku wanakaa nje.
Halafu ndio chuo chetu kipo katika top 10 Africa nzima......mazingira ya kusoma ndio hayo, perhaps ndio maana Africa imefika ilipofika.
Poleni sana
Akishafika huko kwenu usi-generalize mkuu,mbona UDOM hawabebaniukishafika chuo utajua tuu
Akishafika huko kwenu usi-generalize mkuu,mbona UDOM hawabebani
hahaha ,etii wanaume wanabebana
Acha maneno ya kienyeji enyeji mkuu....
hahaha ,etii wanaume wanabebana