room udsm

room udsm

mdegree

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
7
Reaction score
1
wadau mimi ndo naingia 2 year, nahitaji mtu wa kunibeba au kama ---- mdau anafaham jinsi gani ntapata room hata ya kununua mimi nko tayari kwa hilo.
kwa yoyote mwenye mssaada ani PM.
Natanguliza shukurani.
 
kitafahamika mbele usihof mkuu! Mimi ndo nimempata jana na sasa nina utulivu moyon! Ila hii ishu kaz ipo kumpata
 
daah!
hongera mkuu maana ni isue.mimi ningepata hata cha kununua tuu basi roho ingetulia nikafanya mambo mengine.
 
wadau mimi ndo naingia 2 year, nahitaji mtu wa kunibeba au kama ---- mdau anafaham jinsi gani ntapata room hata ya kununua mimi nko tayari kwa hilo.
kwa yoyote mwenye mssaada ani PM.
Natanguliza shukurani.

Kaka unabahat mbaya nmeshapata wa kumbeba...but believe me , komaa humuhumu jf utapata dogo wa kukubeba...
 
wadau mimi ndo naingia 2 year, nahitaji mtu wa kunibeba au kama ---- mdau anafaham jinsi gani ntapata room hata ya kununua mimi nko tayari kwa hilo.
kwa yoyote mwenye mssaada ani PM.
Natanguliza shukurani.
Poleni sana vijana, duuu!
Enzi zetu pale hall 6 ilikuwa ndio habari ya chuo. Vyumba vyote kuanzia hall1-7 tulikuwa tunakaa wawili tu chumba kimoja. hakuna cha kubebana wala wala mzungu wa nne. Nasikitika sana kuona mazingira ya kusoma yamekuwa kwa style hiyo ya kubebana. Poleni sana. Hata darasani nimepita siku za nyuma nimeona watu wanasoma huku wanakaa nje.
Halafu ndio chuo chetu kipo katika top 10 Africa nzima......mazingira ya kusoma ndio hayo, perhaps ndio maana Africa imefika ilipofika.
Poleni sana
 
hayo ni maisha tu mkuu ,xo usijaji maisha ya Mtu,shukuru Mungu kwa hilo! kupanga mtaani si kazi rahisi,kwanza gharama zake ni kubwa na kumbuka kuna watu wanawasomesha wadogo zao kwa hicho kidogo kinachotolewa na HESLB,hivyo bora uishi campus kwa sababu gharama inakuwa ndogo.
 
Wapi nimejudge maisha ya mtu?
 
Poleni sana vijana, duuu!
Enzi zetu pale hall 6 ilikuwa ndio habari ya chuo. Vyumba vyote kuanzia hall1-7 tulikuwa tunakaa wawili tu chumba kimoja. hakuna cha kubebana wala wala mzungu wa nne. Nasikitika sana kuona mazingira ya kusoma yamekuwa kwa style hiyo ya kubebana. Poleni sana. Hata darasani nimepita siku za nyuma nimeona watu wanasoma huku wanakaa nje.
Halafu ndio chuo chetu kipo katika top 10 Africa nzima......mazingira ya kusoma ndio hayo, perhaps ndio maana Africa imefika ilipofika.
Poleni sana

Unakosea sana unapofananisha elimu ya kipindi kile na elimu ya sasa,...
kwanza enzi zenu wasomi mlikua wachache mno kiasi kwamba hata kubebana isingewezekana....
pili maisha yalikua sio magumu ukilinganisha na sasa,kiasi kwamba kulikua hakuna utofauti mkubwa wa kifedha kati ya kuishi hostel na kuishi nje..
Pia usikibeze chuo, wa kuwa responsible ni viongozi wetu walioshindwa kuongeza miundombinu ya kusomea..
 
Poleni sana vijana, duuu!
Enzi zetu pale hall 6 ilikuwa ndio habari ya chuo. Vyumba vyote kuanzia hall1-7 tulikuwa tunakaa wawili tu chumba kimoja. hakuna cha kubebana wala wala mzungu wa nne. Nasikitika sana kuona mazingira ya kusoma yamekuwa kwa style hiyo ya kubebana. Poleni sana. Hata darasani nimepita siku za nyuma nimeona watu wanasoma huku wanakaa nje.
Halafu ndio chuo chetu kipo katika top 10 Africa nzima......mazingira ya kusoma ndio hayo, perhaps ndio maana Africa imefika ilipofika.
Poleni sana

Hiyo si ni enzi hizo mkuu!
wanafunzi wenyewe hamkuwa wengi kama sasa,sahivi huko hall six ni kama hall 2 au 5 tuu,hall 6 ya sahivi vitanda 3,na mkibebana ni watu sita kwa room,na hauwezi kulala pekee yako afu kuna mwenzio anahangaika sehemu ya kuweka ubavu labda uwe na moyo mgumu sana.
 
Poleni sana vijana, duuu!
Enzi zetu pale hall 6 ilikuwa ndio habari ya chuo. Vyumba vyote kuanzia hall1-7 tulikuwa tunakaa wawili tu chumba kimoja. hakuna cha kubebana wala wala mzungu wa nne. Nasikitika sana kuona mazingira ya kusoma yamekuwa kwa style hiyo ya kubebana. Poleni sana. Hata darasani nimepita siku za nyuma nimeona watu wanasoma huku wanakaa nje.
Halafu ndio chuo chetu kipo katika top 10 Africa nzima......mazingira ya kusoma ndio hayo, perhaps ndio maana Africa imefika ilipofika.
Poleni sana

true that, its sad kuona wanafunzi wa chuo wanagombania kuwahi seats especially in these theater rooms, some venues are in horrible conditions that i fail to understand what the F are the people responsible doing! DARUSO pamoja na high budget wanayopewa(millions) ni one of the corrupt bodies wanashindwa kuwakilisha mawazo ya watu waliowaweka wanakula na kucheka na uongozi tu. Wale wanaharakati wa kipindi hiko walikua chachu kidogo maana progress was there now NOTHING ;(
 
mm ningekubeba kjana ila cjui nitakupataje mm ndo 1st year ningependa nikusaidie kama itawezekana mana namin utanipa raman za lfe mana mm mgen
 
Back
Top Bottom