Roomate ameniweka exile, huu ni ustaarabu?

CHIPANJE

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
321
Reaction score
53
Leo ni siku ya tatu tangu roomate wangu aniweke exile.

Nikiwa mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na yeye ni mwaka watatu,jamaa katumia uzoefu wake kunipeleka exile tangu alipokuja msichana wake toka Manyoni,Singida.Sijui nifanyaje?
 
hata ungekuwa mwaka wa tisa mdogo wangu hiyo ndo unversal life na kama imekuuma mpelekee kizaazaa na kama unamwogopa temana nae afu mwakan panga peke yako,jifunze mdogo wangu sio nyuzi za kijamii kama hiz kuweka hewan
 
Leo ni siku ya tatu tangu roomate wangu aniweke exile.

Nikiwa mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na yeye ni mwaka watatu,jamaa katumia uzoefu wake kunipeleka exile tangu alipokuja msichana wake toka Manyoni,Singida.Sijui nifanyaje?
Duh...pole sana mkuu! Enzi zetu exile ilikuwa ni ya masaa tu au ikizidi sana usiku mmoja! Sasa wewe siku tatu na hakuna dalili kuwa inaisha lini....huo kweli sio ustaarabu!

Kuwa muwazi kwa huyo mate wako...mwambie umechoka kukaa exile! Kama vipi akatafute gesti akae naye mpaka boom liishe.
 
Leo ni siku ya tatu tangu roomate wangu aniweke exile.

Nikiwa mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na yeye ni mwaka watatu,jamaa katumia uzoefu wake kunipeleka exile tangu alipokuja msichana wake toka Manyoni,Singida.Sijui nifanyaje?

sishangai, kumbe 1st year.....
 
Mi mgeni hapa chuoni ndo kwanza nina miezi miwili na sijapata msichana.

uko chuo gani nikupatie kabinti maana huyo mjinga hata me inaniuma kiaina nichek afu nijaribu kukutafutia kama unataka lakin niambie ulipo nikupe msaada wa fasta...
 
Nipo Udom thinker.
 
sishangai, kumbe 1st year.....

Daaaaaaaaaaaahhhh,

Usijekumwambia ni njuka!!

Hivi vyuo hata siku hizi vinaendeshwaje? Huyo mtu anayewapanga vyumba anatumia akili gani kumweka 1st year and finalist???

Huyo dogo aombe Dean of students ambadilishie chumba kabla hajapata matatizo zaidi....

Hata hivyo exile ya zaidi ya masaa 12 haifai kabisa....ni upuuzi mtupu!!
 
Mi mgeni hapa chuoni ndo kwanza nina miezi miwili na sijapata msichana.

Dogo umekwenda kusoma au kutafuta vibinti? Shauri yako. Siku hizi hata mvua nazo hazinyeshi. Mapori ya kukata mkaa nayo yeshaisha. We sikiliza maneno ya watu humu. Wengine bongo zao zishapinda siku nyingi.
 
Nadhani kinachokuuma unahisi jamaa anafaidi sana, mwache mate wako afaidi tu na wewe wakati wako ukifika utafaidi. Acha wivu bwana mdogo, huwezi kujua ndoa nyingi sana hapa nchini tena za heshima kubwa tu zilianzia kwa watu kuwaweka exile mate zao wakiwa chuo. Exile ni sehemu ya maisha ya chuo, hela ya guest mtatoa wapi kwa haka ka boom kenu ka miaka hii?
 
Daaaaaaaaaaaahhhh,

Usijekumwambia ni njuka!!

Hivi vyuo hata siku hizi vinaendeshwaje? Huyo mtu anayewapanga vyumba anatumia akili gani kumweka 1st year and finalist???

Huyo dogo aombe Dean of students ambadilishie chumba kabla hajapata matatizo zaidi....

Hata hivyo exile ya zaidi ya masaa 12 haifai kabisa....ni upuuzi mtupu!![/QUOTE]

Watu wengine hawana ubinadamu kabisa!!! wako very selfish!!! Yeye asingekubali kabisa kutendewa hivi.
 
ondoa shaka me nadhan nitafika dodoma wiki ya sikukuu hizi zilizopo nitakuchek au...,afu pls lakin ulishawah kuwa na mwanamke?au ndo utakuwa unaanza.

Hebu mwache mtoto wa watu,

Mwenzio anaomboleza msiba wa kupigwa exile night 3 (sawa na Laki 6 za Speaker) halafu unaanza kumchuuza...
 
Leo ni siku ya tatu tangu roomate wangu aniweke exile.

Nikiwa mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na yeye ni mwaka watatu,jamaa katumia uzoefu wake kunipeleka exile tangu alipokuja msichana wake toka Manyoni,Singida.Sijui nifanyaje?
nenda kwa dean of student au waden wako.umweleze. ukiwa hapo chuoni wkati wote unatakiwa ufahamu kwa kila aina ya tatizo nani ni mtu/ofisi ya kukusaidia
 
Watu wengine hawana ubinadamu kabisa!!! wako very selfish!!! Yeye asingekubali kabisa kutendewa hivi.

Mkuu huyu ni first year na room mate wake ni third year, ili amkatalie anatakiwa awe ngangari kabisa...Ila kwa jinsi anavyojieleza...huyu dogo anaweza kupigwa exile hata mwezi mzima.

Aende kwa Dean of Students aombe kuhamishwa chumba ili akakae na first year wenzake!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kuwekana exile ni jambo la kawaida sana kwa maisha ya chuo
kama unaona demu wake haonyeshi dalili ya kuondoka ,mshtue jamaa kuwa maisha mtaan ni magumu so unataka kurud kwa rumu,atakuelewa
 
Mkuu huyu ni first year na room mate wake ni third year, ili amkatalie anatakiwa awe ngangari kabisa...Ila kwa jinsi anavyojieleza...huyu dogo anaweza kupigwa exile hata mwezi mzima.

Aende kwa Dean of Students aombe kuhamishwa chumba ili akakae na first year wenzake!!

Mkuu DC, hapo kwenye bold nimeliona hilo Mkuu, na aende kwa Dean of Students haraka sana maana si ajabu jamaa ana mpango wa kuwa na binti kwa muda mrefu zaidi.
 
Back
Top Bottom