Hii habari haina ukweli, huyo dogo ni mwongo, Labda siyo UDOM, Udom undergraduate wanakaa mtu 4 kwa room, iweje apigwe exile peke yake wakati kuna wenzie wa wa 2?
Pia Milango ya vyumba mabweni ya udom unaweza kuifungua hata kama mwenzio amefunga kwa ndani ili mradi tu ufunguo uwe wa kitasa husika.
kwa hiyo huwezi kamwe kupigwa exile.
kwangu mimi, kama we wewe uliyepigwa exile ni mdogo wangu nitajua tu familia imepata hasara kwa maana kwamba uwezo wako wakufikili ni mdogo. Umesoma f1-f4, then f5-f6, bado tu akili haijachangamka kiasi kwamba unakubali mwenzio akulaze nje siku 3 wakati chumba unalipia tena kwa mkopo utakaokugharimu hapo baadaye.
Kweli nimeamini mtaala wa secondari inabidi ufanyiwe kazi. WE Dogo kweli akili yako haijachangamka, hata kama angekuwa mwaka wa 7, sheria ya chuo hairuhusu- kwanza ukimshitaki kwa dean "analo", hata kama atakupiga mkwara Na yeye anaogopa.
Hata hivyo hali kama hiyo huwa haipo UDOM, hakuna exile.
Ngoja nikupe story ya mabibo komesha ya wapiga EXILE
Kuna mzee mmoja alikaa na madogo wa engineering wakati mabibo inaanza. Wale madogo kila weeked wanavusha, wakivusha hawamwambii atoke wanakula mzigo akiwemo huku taa imezimwa, mzee akawa anaumia tu. Yule mzee akawa anawasihi jamani acheni!!! wao hata hawamsikii wanakula maisha kila weekend si unajuwa kazi na dawa.
Unajuwa yule mzee alifanyaje? akasubili siku ya siku wamevusha, usiku wa saa tano tano, malove yamekolea akachukua ndoo yenye maji kidogo kisha akajisaidia haja kubwa halafu akaitenga katikakati ya room, kisha akavuta shuka akajifunika asikilizie watasemaje wale madogo.
Baada ya sekunde kadhaa harufu ikachanganya, Mzee alianza kusikia sauti ya nyapu mmojawapo, Honey kuna harufu ya kinyesi inasumbua. Mchezo ukasimama, wale madogo waliwaka, lakini ndo ikawa mwisho wao kuvuta mzigo.