Leo ni siku ya tatu tangu roomate wangu aniweke exile.
Nikiwa mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na yeye ni mwaka watatu,jamaa katumia uzoefu wake kunipeleka exile tangu alipokuja msichana wake toka Manyoni,Singida.Sijui nifanyaje?
Na wewe lete binti umuweke exile huyo roommate wako, ngoma draw.
Duh...pole sana mkuu! Enzi zetu exile ilikuwa ni ya masaa tu au ikizidi sana usiku mmoja! Sasa wewe siku tatu na hakuna dalili kuwa inaisha lini....huo kweli sio ustaarabu!Leo ni siku ya tatu tangu roomate wangu aniweke exile.
Nikiwa mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na yeye ni mwaka watatu,jamaa katumia uzoefu wake kunipeleka exile tangu alipokuja msichana wake toka Manyoni,Singida.Sijui nifanyaje?
Leo ni siku ya tatu tangu roomate wangu aniweke exile.
Nikiwa mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na yeye ni mwaka watatu,jamaa katumia uzoefu wake kunipeleka exile tangu alipokuja msichana wake toka Manyoni,Singida.Sijui nifanyaje?
Mi mgeni hapa chuoni ndo kwanza nina miezi miwili na sijapata msichana.
sishangai, kumbe 1st year.....
uko chuo gani nikupatie kabinti maana huyo mjinga hata me inaniuma kiaina nichek afu nijaribu kukutafutia kama unataka lakin niambie ulipo nikupe msaada wa fasta...
sishangai, kumbe 1st year.....
Mi mgeni hapa chuoni ndo kwanza nina miezi miwili na sijapata msichana.
Nipo Udom thinker.
Daaaaaaaaaaaahhhh,
Usijekumwambia ni njuka!!
Hivi vyuo hata siku hizi vinaendeshwaje? Huyo mtu anayewapanga vyumba anatumia akili gani kumweka 1st year and finalist???
Huyo dogo aombe Dean of students ambadilishie chumba kabla hajapata matatizo zaidi....
Hata hivyo exile ya zaidi ya masaa 12 haifai kabisa....ni upuuzi mtupu!![/QUOTE]
Watu wengine hawana ubinadamu kabisa!!! wako very selfish!!! Yeye asingekubali kabisa kutendewa hivi.
ondoa shaka me nadhan nitafika dodoma wiki ya sikukuu hizi zilizopo nitakuchek au...,afu pls lakin ulishawah kuwa na mwanamke?au ndo utakuwa unaanza.
nenda kwa dean of student au waden wako.umweleze. ukiwa hapo chuoni wkati wote unatakiwa ufahamu kwa kila aina ya tatizo nani ni mtu/ofisi ya kukusaidiaLeo ni siku ya tatu tangu roomate wangu aniweke exile.
Nikiwa mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na yeye ni mwaka watatu,jamaa katumia uzoefu wake kunipeleka exile tangu alipokuja msichana wake toka Manyoni,Singida.Sijui nifanyaje?
Watu wengine hawana ubinadamu kabisa!!! wako very selfish!!! Yeye asingekubali kabisa kutendewa hivi.
Mkuu huyu ni first year na room mate wake ni third year, ili amkatalie anatakiwa awe ngangari kabisa...Ila kwa jinsi anavyojieleza...huyu dogo anaweza kupigwa exile hata mwezi mzima.
Aende kwa Dean of Students aombe kuhamishwa chumba ili akakae na first year wenzake!!