Rooms allocation, UDSM

Rooms allocation, UDSM

Nimepata hall 7 ila cpataki..kwa anaetaka tufanye biashara anifuate PM.
 
ufanye biashara chumba cha baba yako ,kama hupataki nenda kwa waden wengine wapangiwe ,nyie ndo mnatakiwa mfukuzwe chuon endapo mtajulikana
 
nani wa kunifukuza?we utakua mfanya usafi hapa mjengoni...lione,sura ka nyanya mbichi.
 
Jana nilipata block sorry Leo nimefungua tena kitu cha hall 1 block A.
 
nani wa kunifukuza?we utakua mfanya usafi hapa mjengoni...lione,sura ka nyanya mbichi.

nan mfanya usafi labda ni wewe , so ole wako wewe kwanza kajiandae na october conference ,unajidai kufanya biashara ya vyumba kumbe ni supp zinakuwaisha chuo ,usipokuwa makin utadisco dogo
 
kumbe cku hzi kuna october conference?ndo maana nakuambia we ni mfanya usafi tu..ebu ntokee hapa,kunguru jike wewe!
 
Back
Top Bottom