Mstaarabu wa ukwee
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 209
- 137
Wale walio omba vyumba angalieni ARIS tayari wametoa majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
toa link
Nimepata hall 7 ila cpataki..kwa anaetaka tufanye biashara anifuate PM.
ufanye biashara chumba cha baba yako ,kama hupataki nenda kwa waden wengine wapangiwe ,nyie ndo mnatakiwa mfukuzwe chuon endapo mtajulikana
Kaka funguka tunapatamani sana campusNimepata hall 7 ila cpataki..kwa anaetaka tufanye biashara anifuate PM.
Kaka funguka tunapatamani sana campus
me co kaka,hall 7 ni ya mabinti!
Mie nimepata block sorry!
nani wa kunifukuza?we utakua mfanya usafi hapa mjengoni...lione,sura ka nyanya mbichi.
Mie nimepata block sorry!
nani wa kunifukuza?we utakua mfanya usafi hapa mjengoni...lione,sura ka nyanya mbichi.
nan mfanya usafi labda ni wewe , so ole wako wewe kwanza kajiandae na october conference ,unajidai kufanya biashara ya vyumba kumbe ni supp zinakuwaisha chuo ,usipokuwa makin utadisco dogo
me co kaka,hall 7 ni ya mabinti!
duuuh block sorry wengne ndo inatuusu