Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahaaaaa... dah! Wabongo siwawezi!...Hii kwa kweli nimeona niiweke humu.
Naona Rooney kaleta heka heka mitaani
Nilikuwa naangalia TV nikaambiwa hiyo ni Rooney Nga
Nikaenda kunyoa nikakuta wao wanasema Sir Rooney
Kuna mtaa mmoja Dar wanasema ni Bugu Rooney. Imekuwa hatari sana
Wewe noma yakweli hayoNa Yule kijana aliyemkumbatia WAYNE ROONEY jana amegoma kuoga, na yeye anawakumbatia watu wengine kwa buku.
Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app