Rooney's new contract

Rooney's new contract

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
attachment.php

Sir Alex Ferguson has revealed Wayne Rooney wants to quit Manchester United. The Old Trafford boss admitted he was "shocked" and "disappointed" to hear the news but said he had not fallen out with the England international, 24.

"We are as bemused as anyone can be, we can't quite understand why he would want to leave," said Ferguson.

Ferguson said the "door is still open" for Rooney, who will miss Wednesday's European game with Bursaspor after being stretchered off in training.

The frontman suffered minor ankle damage at the end of the session and will sit out the Champions League tie at Old Trafford.

BBC Sport - Football - Wayne Rooney wants to leave Man Utd - Sir Alex Ferguson
 
Na kesho Rooney anachezea benchi hehehe..its Beckham all over again, ila aondoke tu especially kwa deal ambayo Madrid wanapropose(kama wako serious), ningemuuza ata leo. Naona kocha wenu naye anamtaka Rooney lol.
 
Rooney kafanya madudu mwenyewe na totoz sasa kiwango chini, inabidi afanye kazi ya ziada.
 
Baada ya press conference ya SAF, banner yenye picha ya Rooney ikaanza kutelemshwa.
opd94g.jpg
 
Aende tu, tunao ma-striker wazuri wanaofunga magoli...kwanza anachelewesha mpira sana!
 
WAYNE ROONEY,anacheza kamari,he is lucky kwamba alex furguson hawezi kumuweka benchi sababu inabidi rooney arudi katika form ili mnunuzi apatikane-huyu rooney anataka hela nyingi kwa lipi? world cup tuliliwa sana na bookmakers kutokana na kuflop kwake-hii kitu player power ina create havoc katika mpira-lets hope manu watam offload na ata flop wherever he goes
 
Perfomance yake ilikuwa mbovu akaenda kuongezea na skendo sasa akili yake ijatulia anategemea nini? Ferguson alisingizia kaumia kwa ajili yakulinda heshima kuliko angesema kapwiga bench kwa vile yuko chini ya kiwango na anahitaji kutuliza akili.Rooney kaona bora kumuumbua Ferguson kwamba hakuwa na injury sasa haya ndio matokeo yake.

sasa tusubiri tuone anaenda wapi,na akifanya mchezo ndio mwisho wake labda habaki uingereza.
 
Sioni Fergie akimuuza Uingereza, maana atakuwa anawapa nguvu wapinzani labda kama atanunuliwa na West Ham.
 
Sioni Fergie akimuuza Uingereza, maana atakuwa anawapa nguvu wapinzani labda kama atanunuliwa na West Ham.
Rumor (in Manchester) has it Wayne wants to go to Man City kwa sababu ndio wanaweza kumuoffer hela anazotaka kwa wiki... Partnership ya Rooney na Ronaldo inavutia kwa hiyo Madrid wanapewa nafasi kubwa ya kujaribu kumsajili, however fununu nyingine ni kuwa kunaweza kukawa na swap deal kati ya Rooney na Torres. Mpaka Rooney atakapotamka wapi anataka kwenda tutaendelea kuspeculate tu.
 
Baada ya press conference ya SAF, banner yenye picha ya Rooney ikaanza kutelemshwa.
opd94g.jpg

Damn!!!!!!!!!!...That was quick to say the least. Nd'o kwishnei sio?....Inanikumbusha ya Lebron kuondoka Cleveland.
 
BBC "Sir Alex looked like somebody who has just been dumped by his girlfriend
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom