Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa naamini Rooney atakaa msimu mmoja tu Man U (baada ya huu wa sasa), atauzwa kwa hela nzuri sababu tayari ana mkataba wa muda mrefu (Fergie is good in business)...
Rooney is delighted to remain with red devils and signed a contract for over five years. refer to www.manutd.com
Watu wanamlaumu sana Ferguson kwamba anawakimbiza wachezaji akikorofishana nao but sometimes kama kocha unatakiwa kutoa maamuzi ambayo yana manufaa kwa timu ingawa sometimes unaweza kufanya makosa.Fergie alikiri kuwa alifanya makosa kumuuza Jaap Stam tu
DavidBeckham
Jamaa alikorofishana na Fergie kutokana na lifestyle yake but Christiano Ronaldo alifanya mambo ambayo watu walianza kumsahau Becks
Ruud Van Nistelrooy
Inasemekana alikosana na CR7 babu akaamua kumuuza ,hii ilisadia kuwapa nafasi Rooney na Ronaldo.Tangu Ruud ameondoka Man U wameshindwa kupata mchezaji wa aina yake
Christiano Ronaldo
CR7 hakukorofishana na Fergie ,yeye alitaka kupata new chalenge baada ya kushinda kila kitu kwenye ngazi ya klabu na ilikuwa good business kwa klabu ilikuwa ngumu sana kukataa, sasa naona NANI anaanza kuziba pengo la Ronaldo
Mkuu Nani yuko juu sana anapiga mabao kama hana akili nzuri ameweza kumfunika Ronaldo hata kwenye timu ya taifa alipiga bao mbili na kutengeneza bao moja kwa C Ronaldo.
Mbu ulimg'ata nadhani...si nilisema huyu anatikisa kibiriti 'mwanaharamu apite!?'
Nani akiacha kudive, kulalamika muda mwingi na akiwa consistent na performance yake ni mchezaji mzuri sana.Nani ni top class player (napenda sana soka lake) ila anakosa ile consistence....thats all!
Mkuu anything is possible with City fans like this guy below ama yule aliyeandika jina la Kaka.Fake tatt.