Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

Umefanikiwa kuroot?


  • Total voters
    24
Taja Build number yako
Tumia hii tutorial na ufate kila hatua,files zote za kudownload zimo humo

Hatua ni zile zile
√Extract boot image toka kwenye stock rom yako
√Patch boot image kwa kutumia magisk
√Flash patched boot image kupitia flashtool Au adb fastboot
 
NiNa galaxy note 9 naomba maelekezo tafadhali
Simu yako ni exynos au snapdragons?
Android version ya ngapi?
Kama ni exynos na ina android 9 au 10 tumia njia ya kwanza kwenye hii link
 
Mkuu sony Xperia z5
Model SO 01H
Ni docomo version

Nataka ku root
Sony ni tofauti kidogo na mlolongo mrefu.
Kwanzan Angalia kama sim yako inaruhusu ku unlock bootloader

1) type ##7378423## kwenye dialer / phone app
2) service info --> configuration --> rooting status
3) kama bootloader unlock allowed inasema YES, unaweza kuroot lakini kama bootloader unlock isnt allowed HUWEZI root SIM

Kama inaruhusu kurot Basically utakachofanya ni unlocking the bootloader, booting recovery, flashing kernel, flashing root, wipe, restore DRM fake, umemaliza.
 
Nisaidien kuroot na mie note 10 yangu niinjoi magisk modules hizo
 
Nisaidien kuroot na mie note 10 yangu niinjoi magisk modules hizo
Note 10 kws exyoness variant pekee maana snapdragon model nying zina bootloader ambayo huwezi unlock
Pitia maelezo yote kwenye link hii tumia njia ya kwanza
 
Mbona jamaa yangu ka unlock na ni global yenye sd
 
Naomba nielekeze namna ya kuzitumia hizo magisk module
 
Kuna sumsung s8+ imefikia ukomo wa update imeishia adroid 10 hiv nikiroot inaweza ku update to adroid 12 ushaur jaman na kama inawezekana nahitaji mtaalamu wa kuroot
 
Dah aisee inashangaza. Me nahangaika namna ya ku unroot cm yangu ili nipate Andorid 11. Lakin nmeambiwa kuwa hauwez ku unroot XYNOS
 
Mkuu tunaomba utuelekez na namna ya ku unroot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…