Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Kama mtu hajaelewa, ni vizuri apate msaada kutoka kwa ambaye anaujua huu MCHEZO![emoji23][emoji23][emoji23] basi tu hayo mambo ukilikoroga tu andaa pesa ya simu mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mtu hajaelewa, ni vizuri apate msaada kutoka kwa ambaye anaujua huu MCHEZO![emoji23][emoji23][emoji23] basi tu hayo mambo ukilikoroga tu andaa pesa ya simu mpya
Simu yangu natamani sana ni upgrade lakin siwezKama mtu hajaelewa, ni vizuri apate msaada kutoka kwa ambaye anaujua huu MCHEZO!
Mkuu simu yangu ipo rooted hivyo ina version ya zamani sana 5.1.1 unaweza kunisaidia kuiweka katika latest versionKnox yako iko tripped huwezi kutumia apps ambazo ziko related na knox.
Kuna namna ya kufake kwa custom kernel lakini ni very complicated.
Cha msingi achana na apps za samsung zenye uhusiano na knox.
ExactlyKama mtu hajaelewa, ni vizuri apate msaada kutoka kwa ambaye anaujua huu MCHEZO!
Tumia OTA updates kwenye settings>system updates kama hamna version unayotaka root kisha install custom romSimu yangu natamani sana ni upgrade lakin siwez
Install custom rom ya latest Android versionMkuu simu yangu ipo rooted hivyo ina version ya zamani sana 5.1.1 unaweza kunisaidia kuiweka katika latest version
Hapo kwenye kuinstall room ndo siwez sina utaalam napoTumia OTA updates kwenye settings>system updates kama hamna version unayotaka root kisha install custom rom
ni setting gani kwa mfano ukijaribu kuibadilisha inakwambia "huwezi huna root"Mkuu inabidi ujue maana ya kuroot simu,kama wewe ni mpenzi wa teknolojia lazima utaujua umuhimu wa kuroot.
Smartphone inaweza fanya mengi lakini isipokua rooted inakua limited kama unatumia computer utajua tofaut kati ya administrator na guest user ivo ndivyo ilivyo kwenye sim,ikiwa rooted unakua administrator user isipokua rooted unakua guest user ni kama kumiliki gari afu ukaendeshwa iyo ndo sim isiyo rooted au ukaendesha gari mwenyew iyo ndo kuroot
So kuroot ni kuchukua control ya simu ili kufanya customization na modification vile unavotaka wewe simu iwe na sio kwamba unapata bando la free internet au dakika za kupiga mitandao yote au sms mpaka simu yako iharibike
Hauwezi kwa hizi later android version labda za zamani Android 5 hukoo ndo unaweza fanya ivy
Sawa mkuuHauwezi kwa hizi later android version labda za zamani Android 5 hukoo ndo unaweza fanya ivy
simu famous kama hiyo ingia tu youtube search kwanza how to unlock bootloader of Google pixel 6 pro, ila andaa kwanza PC.NAMI NAOMBA MSAADA WA KUROOT GOOGLE PIXEL 6 PRO