Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

Umefanikiwa kuroot?


  • Total voters
    24
Knox yako iko tripped huwezi kutumia apps ambazo ziko related na knox.
Kuna namna ya kufake kwa custom kernel lakini ni very complicated.
Cha msingi achana na apps za samsung zenye uhusiano na knox.
Mkuu simu yangu ipo rooted hivyo ina version ya zamani sana 5.1.1 unaweza kunisaidia kuiweka katika latest version
 
ni setting gani kwa mfano ukijaribu kuibadilisha inakwambia "huwezi huna root"

onyesha screen shot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…