Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwake..View attachment 2621656
View attachment 2621657
Nyota wa Muziki wa Hip Hop na mshindi wa Tuzo ya Msanii Bora wa Hip Hop kupitia Tuzo za TMA, Rosa Ree amepata mtoto. Taarifa hiyo ameithibitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Wanasayansi wanasema kichaa cha mimbaNdio haya magumu aliyosema anayapitia! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] inawezekana maana mimba sio ugonjwaWanasayansi wanasema kichaa cha mimba
Sasa wewe unadhani ni kwa uwezo wa nani labda?Mpaka leo anaamini kuwa kuzaa ni uwezo wa Mungu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa mama au kuwa wazazi? Kwahiyo hadi binadamu wa kiume wamepewa nguvu ya kuwa mama?View attachment 2621656