Rosa Ree avunja mwiko AFRIMA wa Rapper wa kike kuingia kinyang'anyiro cha Msanii Bora wa Kike East Africa

Rosa Ree avunja mwiko AFRIMA wa Rapper wa kike kuingia kinyang'anyiro cha Msanii Bora wa Kike East Africa

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51
jibe (1).jpg


Tumezoea wanamuziki tunao waona wakiingia kwenye Nominations nyingi za Tuzo za nje ni hawa wanaoimba ila katika Nominations zilizotangazwa Jana na AFRIMA Msanii Rosa Ree ambae ni Rapper wa kike kutokea Tanzania ametokelezea katika kipengele cha Msanii bora wa kike Eastern Africa Akiwemo Nandy, Maua, Vanessa Mdee na Qeen Darleen kutoka Tanzania

Rosa Ree ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

Rosa_ree
HARD-WORK IS AN INVESTMENT!!
Bidii ni Akiba na Akiba haiozi.. If you don’t get it today or tomorrow, your day will dawn!
For the first time in the history of Tanzanian , a Female HIP HOP artiste has been nominated in the category of Best Female Artistes in Eastern Africa Region in the All Africa Music Awards #AFRIMA #6thAFRIMAAwards @afrimawards GOD IS GOOD 🙏🏾
 
Mbona simuoni Ruby hapo juu? Hao watakuwa ni wahujumu tu siyo bure.
 
Huyu binti kazi yake kupiga picha katoa ulimi nje tu
Nakubaliana na wewe,huyu binti sijawai elewa Nini anafanya, pamoja na chemical,binti aliyekua ana rap nikamkubali Ni V-money aliwai rap kwenye kolabo moja na dj choka nilipenda rap yake akahama nakuendelea kuimba ila niltamani aendele na rap
 
Rosa ree anajua kwa kweli. Bila kuweka unafiki huyu mwana dada ni mkali .hapa Tz kwa level zake hatuna(upande wa rapper wa kike) lakini zaidi ana upekee wa kujua lugha mbili ki ufasaha(swahili &English)hapa ameongeza credit kwenye kazi zake na interview mbalimbali ndani na nje ya nchi. Ukija performance zake ni kali balaa anajitahidi ana pumzi huwezi dhani kama ni girl. Rosa ree anastahili kuwa hapo alipofika. She is a hardworking figure
 
Back
Top Bottom