Tetesi: Rosa Ree kuingia WCB Wasafi. Tazama Ngoma Waliofanya na Rayvanny

Tetesi: Rosa Ree kuingia WCB Wasafi. Tazama Ngoma Waliofanya na Rayvanny

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51
Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi

Ngoma yake mpya iliyokaa number moja trending kwa siku kadhaa youtube akiwa na rayvanny nimekuwekea hapa chini:

kwan kila anaefany collabo na msanii wa wasafi anatk kujiunga et
Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi
Ngoma yake mpya iliyokaa number moja trending kwa siku kadhaa youtube akiwa na rayvanny nimekuwekea hapa chini:

Hapo wcb watakuwa wamejichanganya kweli, hako kamalaya hamna kitu, kanategemea kutukana/kukaa uchi ndo mziki wake uende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
east africa sijona mtoto wa kike anae mpita rosa ktk kurap kama yupo meingine nipatie jina lake nikalinganishe
 
Hii ni post ya member ambae amejiunga jf week hii
Hii sio insta au fb aisee,leta facts nzito.

Mleta mada kasema tetesi boss, na wanachama wapya tunatakiwa kuwakaribisha vizuri, kwani hata sisi huko nyuma tulikuwa wageni humu.
 
Unasukuma ndinga? Na mimi nataka ninunue altezza...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hilo songs mda wote nalimung'unyaa tu mdomoni, daah Tom boy kajua kuninyoosha haswaaah. "Sukuma Ndinga" kwa sauti ya mnyanwezi wa kikee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom