Tetesi: Rosa Ree kuingia WCB Wasafi. Tazama Ngoma Waliofanya na Rayvanny

Tetesi: Rosa Ree kuingia WCB Wasafi. Tazama Ngoma Waliofanya na Rayvanny

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hilo songs mda wote nalimung'unyaa tu mdomoni, daah Tom boy kajua kuninyoosha haswaaah. "Sukuma Ndinga" kwa sauti ya mnyanwezi wa kikee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu ila Altezza ukiifunga mziki mnene...na mtoto mkareee maisha yanaenda murua...
 
Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi

Ngoma yake mpya iliyokaa number moja trending kwa siku kadhaa youtube akiwa na rayvanny nimekuwekea hapa chini:


I love this lady
 
Wacha iendelee kusemekana. ila ngoma ni kali.
 
Back
Top Bottom