anavuta satnaizaHuyu Rosa Ree havuti madawa?
hahahahaanavuta satnaiza
mkuu, useng3 tena!?hahahaha
useng3 mwing humu ndani
kwan kila anaefany collabo na msanii wa wasafi anatk kujiunga et
Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi
Ngoma yake mpya iliyokaa number moja trending kwa siku kadhaa youtube akiwa na rayvanny nimekuwekea hapa chini:
east africa sijona mtoto wa kike anae mpita rosa ktk kurap kama yupo meingine nipatie jina lake nikalinganishe
Hii ni post ya member ambae amejiunga jf week hii
Hii sio insta au fb aisee,leta facts nzito.
oooh my kana mwanya fulani kwenye mpangilio wa meno yake nimeona mkuu nae namuweka kwenye orodha ahsnteFrida amani na song lake pullup, jibebe
Mtoto natural mrembo( beauty with brain)
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasukuma ndinga? Na mimi nataka ninunue altezza...🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hilo songs mda wote nalimung'unyaa tu mdomoni, daah Tom boy kajua kuninyoosha haswaaah. "Sukuma Ndinga" kwa sauti ya mnyanwezi wa kikeeUnasukuma ndinga? Na mimi nataka ninunue altezza...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]